Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

inaweza kuwa alikua na hoja ila uwasilishaji wake sio mzuri, bado wanawake wanataji msingi mkubwa wa uongozi hapa walipo sasa wako kwenye msingi dhaifu sana.

na ujumla wa yote mwanamke hakuundwa kuwa kiongozi, isipo kuwa wachache sana na ambao hutokea kwa nyakati maalumu pekee.
Actualy kauli yake ni kama anatangaza uadui na wanaume wkt wanaume hao ndio wamempa nafasi ya kufika hapo. Kwa kauli hii inaonyesha wanawake wa kitanzania hawako vizuri in leadership at all
 
Actualy kauli yake ni kama anatangaza uadui na wanaume wkt wanaume hao ndio wamempa nafasi ya kufika hapo. Kwa kauli hii inaonyesha wanawake wa kitanzania hawako vizuri in leadership at all
hawapo vizuri kabisa, si katika leadership pekee hata katika mambo mengine, hudhani adui yao ni mwanaume wakishafanikiwa hatua fulani , huashau pia waliowafikisha hapo ni wanaume.
 
Huo ni Ubaguzi wa Kijinsia huyu Msichana anawazimu?!
So apewe kura kisa mwanamke. Ndo hiki walicho lilia wanaume kupewa fursa kwa sababu ya uanaume wao ( waliita mfumo dume) , je wao wanataka waje na mfumo jike.

Ktk zama hizi elimu sawa, fursa za ziada mnapewa kisa jinsia ya kike. Ukiona mtu kakosa nafasi jua hayupo competence.

Huku maofisini utaona wengi kazi hawajui kwa ubora unaotakiwa but walipata nafasi kwa ajili ya jinsia.

Kuwa competence tu hauto kwepeka, mwanaume akiwa boya, jizi msimpe kura, yeyote mwenye sifaa za uongozi apewe.

Wanawake wanalia lia Sana wakati mifumo ina wa favor.
 
View attachment 2927475
"Tutakwenda kuhakikisha tunaongeza ushiriki wa Wanawake kwenye hizi chaguzi kwa Wanawake wenyewe kugombea. Ufike mwisho wakati wa Wanawake kuwa ndugu watazamaji na wasindikizaji na ifike mwisho Wanawake kuwa ni sehemu ya kuwapigia kura Wanaume wakati ninyi mna uwezo wa kugombea".

Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu- Umoja wa Wanawake Tanzania, CCM (UWT)
WhatsApp Image 2024-03-08 at 08.16.07.jpeg
 
Kwa kauli hii inaonyesha wanawake wa kitanzania hawako vizuri in leadership at all
Mwandishi wa Biblia na Qur'an hakua Mjinga, ushawahi ona imamu Mwanamke au Shekhe mkuu Mwanamke au Padrii Mwanamke au Paroko Mwanamke au Askofu Mwanamke? Kwanini hakuna?
 
Back
Top Bottom