Joint venture electrical installatiion & maintanence, generators, solar, etc

Meshacky

Member
Oct 19, 2010
50
0
kampuni medium size, iliyosajiliwa Brella, CRB na TRA yenye uzoefu wa kutosha kwenye shughuli zilizoonyeswa na nyinginezo inatafuta mbia kwa njia yoyote ikiwemo mkataba wa kufanya kazi na dalali kwa makubaliano maalumu ya kisheria ili kujitanua zaidi kwenye fani hiyo Kampuni iko dar es salaam lakini ina wawakilishi dodoma na iringa. Mwenye nia apige 0656898431 au 0732 200 494 kwa mawasiliano zaidi.
 
Back
Top Bottom