Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

mwenye joining instrction ya msamala ya songea plz anipe nami pia n mdau #@#kaesajrkaesa@gmqil.com
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kama kuna yoyote anaye ifahamu Magoma sec school naomba msaada Wa joining instruction...
 
WANAJAMVI NAOMBENI MNISAIDIE JOIN INSTRUCTION YA SHULE YA LUSANGA SECONDARY MNITUMIE KWENYE EMAIL manyasani@gmail.com au whats 0764766574,,,au hata mnisaidie mawasiliano ya mwalimu yeyote hapo shuleni
 
Wadau tafadhali naombeni joining instructuons za kujiunga na Sengerema high School.Natanguliza Shukrani.
 
Jaman wakuu nisaidieni joining instructions ya MAWENZI SEC SCHOOL MOSHI.
dada yangu kachaguliwa kwenda pale advice.
 
jamani anaye jua joining instruction ya malagarasi anisaidie au mawasiliano ya mwl yeyote wa pale
 
kutokana na tatizo linalowakumba wanafunzi wengi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano (tatizo la kupata joining instructions), kwa kushirikiana na mkuu wa shule ya sekondari mwendakulima ameamua kuniruhusu kupost joining ya shule ya sekondari mwendakulima iliyopo halmashauri ya mji wa kahama ili kuwarahisishia wanafunzi waliopangiwa kwenye shule yake na walioko maeneo ya mbali na shule.

Pia mada hii itakua rasmi kuweka fomu za kujiunga na shule mbalimbali nchini ama taarifa zilizopo kwenye fomu husika kama muhusika akishindwa kuiweka hapa kuwasaidia wanafunzi hasa walio mbali kujua gharama zote mpaka wanajiunga na vitu vitavyohitajika ili wafanye maandalizi wakati wanatoka nyumbani na kujua mapema wanaenda kukutana na nini mashuleni.

Karibuni

=====

benjamin mkapa joining instructions

View attachment 266225


View attachment 266226

aksante kwa wema wako,kama na wengine wangeiga utaratibu huu tungefika mbali
 
kwa mwenye joining insruction au ambaye ana taarifa kuhusu St paul's Liuli secondary iliyopo mkoan Ruvuma (Nyasa) kwa A level nahitaji msaada wako kwani ndugu yangu kachaguliwa hapo
 
Back
Top Bottom