Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

wakuu msaada kwa anayejua shule ya nangwanda girls sec iliyopo newala huko mtwara nahitaji website yao ili nipate joining instruction au kama kuna aliye nayo ani PM au anicheki namba hii 0712222184 au kwenye email g_mhando@yahoo.com
 
Naombeni msaada wa Joining instruction ya kidato cha Tano mwaka huu, ya shule ya Wasichana Loleza Mbeya.

Thanks.

Hongera kwa kwenda hapo. Mtoto ajiandae kwenda na sickle. Ream moja. Ndoo ya bati moja. Mengine nimesahau nimesoma 5yrs bt nahis hizo zitakufaa kuanzia
 
Hongera kwa kwenda hapo. Mtoto ajiandae kwenda na sickle. Ream moja. Ndoo ya bati moja. Mengine nimesahau nimesoma 5yrs bt nahis hizo zitakufaa kuanzia

Ahahahahaa, Asante.bt ni mdogo wangu ndo anaenda sio mimi.
Ila hongera zimemfikia.
Vipi after 5yrs upo wapi sasa??
 
Back
Top Bottom