Dilunga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2009
- 679
- 49
....mawazo mgando kwamba kuna "mtoa shule" na mwingine "mpewa shule" wakati the essence ya JF ni kuelimishana na kubadilishana mawazo...
Hapo sasa umeongea kiungwana, nimeelewa hilo rekebisho na apology yako Mkuu, na sasa tusonge mbele tusahau maneno yako ya ki John Mashaka kwamba kuna vijana hapa wanakushukuru kwa kuwapa shule.
Nadhani mzee Mbwambo ni vema angetaja hao mawaziri, vinginevyo ni kama stori za vijiweni tu, udaku.