John Terry sacked as England Captain

toni-terry.jpg
 
Sacked, the utter Britishness of that word!

In the states one must take a leap of faith into not being confused as having said something else - which could have some rather colorful connotations, "sucked" and "in the sack" being just two off the top of my head- when saying "sacked".

And since Donald Trump popularized the term in "The Apprentice", "fired" is evermore on fire as the word in place of what the Brits would call "sack"
 
Media imechangia sana kubwagwa kwa Terry hapa. Mimi binafsi naamini captain wa timu anatakiwa awe judged kutokatana na jinsi anavyobehave na ku act anapokuwa uwanjani na kwenye dressing room. If you are a great leader, it doesnt matter how many girls you sleep with, it doesnt change a thing. Ni kama mimi na kibarua changu au wewe eti kwa kuwa umelala na demu flani- ufukuzwe kazi! Tena kwa wataliano, haya ni mambo ya kawaida, just look at their PM Mr Berluscon utajua naongea nini, na kila akigombea- kura wanampa kama kawa!
 
Hahahahaha! Kama unapiga mpira hana shida, tigo umepata....alianza Eidur Gudjohnsen akaja Adrian Mutu, akafuatia William Gallas (?) na baadae Wayne Bridge, akamalizia John Terry! Kuna wawili pia nafikiri waligonga kabla ya Bridge, ni demu wa Chelsea! Nashangaa kwanini watu wametoa macho sana kama vile ni tukio la kwanza kwenye soka! Kila timu haya mambo yanatokea kwa sababu wachezaji wana muda wa ziada na pesa, na wasichana wanawinda wachezaji....hii sio ishu ya kwanza na haitakuwa ya mwisho kwenye ulimwengu wa EPL!

Huyo dada ni ishu. Amekaa kimitego hivi.
Wapo mashore fulani huwa wanazungusha tu kwa wachezaji. Kuna yule Katie Price a.k.a Jordan, alibanjuka na wachezaji kadhaa akiwemo Ryan Giggs na Dwight Yorke, alipopata uja uzito akasema ni mzigo wa Dwight Yorke. Mtoto wao aitwaye Harvey, yule disabled, sasa ana miaka saba.
Hata Bongo mademu wa aina hiyo wapo...
 
Media imechangia sana kubwagwa kwa Terry hapa. Mimi binafsi naamini captain wa timu anatakiwa awe judged kutokatana na jinsi anavyobehave na ku act anapokuwa uwanjani na kwenye dressing room. If you are a great leader, it doesnt matter how many girls you sleep with, it doesnt change a thing. Ni kama mimi na kibarua changu au wewe eti kwa kuwa umelala na demu flani- ufukuzwe kazi! Tena kwa wataliano, haya ni mambo ya kawaida, just look at their PM Mr Berluscon utajua naongea nini, na kila akigombea- kura wanampa kama kawa!

PM wa Italia (Berlusconi) anatembea na mademu wadogo umri kama wajukuu zake. Hana morals kabisa kuanzia issue za mahusiano, za kimaadili (uongozi), za mapato (illegal sources), za matumizi mabaya ya pesa za umma... You name it.

Habari zaidi zilisema kuwa kuwa TERRY alimla huyo ex-girlfriend wa Wayne Bridge wakati akiwa amekwishaachana na Bridge, hivyo siyo issue sana kama ilivyokuzwa.

Hivi ni kosa kumla demu aliyewahi kuwa wa mfanyakazi mwenzio?
 
kuna mtu alisema eti wazungu hawacheat.haya sasa sijui Terry siyo mzungu?
 
PM wa Italia (Berlusconi) anatembea na mademu wadogo umri kama wajukuu zake. Hana morals kabisa kuanzia issue za mahusiano, za kimaadili (uongozi), za mapato (illegal sources), za matumizi mabaya ya pesa za umma... You name it.

Habari zaidi zilisema kuwa kuwa TERRY alimla huyo ex-girlfriend wa Wayne Bridge wakati akiwa amekwishaachana na Bridge, hivyo siyo issue sana kama ilivyokuzwa.

Hivi ni kosa kumla demu aliyewahi kuwa wa mfanyakazi mwenzio?
Issue hapa Terry kaoa huko nje anatafuta nini?
 
Vanessa-Perroncelblog.jpg

article-1248568-08281633000005DC-405_468x660.jpg

vanessa.jpg

Vanessa huyu! John Terry wala hakufanya kosa hata mimi Masanilo ningeuza mechi si mchezo huyu! tiGo ipo inayolipa....

Hapa simlaumu JT, kwanza hiki kidemu kuna list ya watu washapitia wengi tu - Essien, Marcel Desaily, Ronaldo, Gudjonsen.

Hapa ndipo wanapopumzikia mastaa wengi tu - cha msingi JT alilegea zaidi ndo kosa lake.

Na sisi tungekuwa na utamaduni huu basi tusingekuwa na kiongozi yoyote maayake mmhh kila sehemu kashfa tu -
 
Back
Top Bottom