Tunachagua kwenye bold, utamchaguaje adui chaka la kujificha.Najuwa unafahamu nasema nini, mimi si Chadema ila nawapa nasaha zangu tu. Mkipenda zisikizeni mzifanyie kazi, la hamkupenda zipuuzeni kwani waswahili hunena "sikio la kufa halisikii dawa".