John Pombe Magufuli: Kiongozi pekee barani Africa mwenye hotuba zenye mvuto zaidi kwa wananchi wake kwa sasa

Wenye upungufu wa akili ndo wanamsikiliza na wewe ukiwemo binafsi bora nikalewe au kufanya kitu cha kipumbavu kuliko kumsikiliza huyo
Basi wwe unaongoza kwa kutokuwa na akili. Manake nikujuavyo hujawahi kukosa hotuba ya Mzee hata moja!
 
Basi wwe unaongoza kwa kutokuwa na akili. Manake nikujuavyo hujawahi kukosa hotoba ya Mzee hata moja!
Hotoba ndo kitu gani? Ata usijisumbue huyo mtu siwezi kuacha kulala au kufanya mambo ya kijinga achilia mbali ya maana eti nimsikilize. Hicho kitu hakiwezi tokea
 
MAZWAZWA ndivyo walivyo! Upumbavu wa Watanzania wengi ni mtaji mkubwa sana wa chama cha wahuni.
Chama cha wahuni kinatuzungusha kama mpira sababu kuna WaTz wengi uelewa ni mdogo. Hawapendi kufikiria na kutafakari wanaamini kila wanaloambiwa. Safari bado ndefu lakini uchache wetu tusikate tamaa tuzidi kupaza sauti tutaeleweka tu
 
Hotoba ndo kitu gani? Ata usijisumbue huyo mtu siwezi kuacha kulala au kufanya mambo ya kijinga achilia mbali ya maana eti nimsikilize. Hicho kitu hakiwezi tokea
Hotoba umesema wwe! Na bado miaka 7, utamsikiliza Sana. Jiandae tu kisaikolojia na ubadilishe mbinu ya maisha manake mirija yote ya kiinyonyaji imekatiliwa mbali! Hahahahaha
 
Hotoba umesema wwe! Na bado miaka 7, utamsikiliza Sana. Jiandae tu kisaikolojia na ubadilishe mbinu ya maisha manake mirija yote ya kiinyonyaji imekatiliwa mbali! Hahahahaha
Wewe akili zako haziko sawa Hotoba si umeandika wewe hapo au hukuona. Sasa mirija ya unyonyaji mimi inanihusu nini? . Eti bado miaka 7 sasa yeye kawa Mungu hadi useme hivyo yule ni binadamu tu kama tulivyo mimi na wewe muda wowote anaweza akafa muda mwingine tumia akili kidogo kuongea au kucomment vitu
 
Back
Top Bottom