ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,872
Mara nyingi huwa namsikiliza Rais Magufuli akihutubia, lakini hotuba zake zimejaa masimulizi zaidi ya mipango mikakati ya Maendeleo ya nchi Kisiasa, kiuchumi, Kijamii, n.k.
Wananchi tuhahitaji kusikia mikakati na hatua madhubuti za kukuza demokrasia, kuongeza kipato na kutoa huduma za jamii.
Masimulizi ya mambo madogo madogo yaliyotokea hatuyahitaji kuyasikia toka kwa mkuu wa nchi.
Mfano stori ya ndege, sijui walitaka kupiga, mara sijui huyu ni TISS mara hivi mara vile, hayo ni mambo ya utendaji wa ndani ambayo sisi wananchi hatuhitaji kusimuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app