Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

Kwani waliomwua Mawazo walikuwa vichaa?
Ukishaonja damu "nyama" ya mtu huwezi kuacha...

Kuituhumu serikali au CCM kwa mauaji inaweza kuleta madhara kwenye jamii zaidi ya mafanikio ya kisiasa chadema wanayotarajia kuyapata

Wauaji ni wauaji tuu huwa hawaangalii Chama. Kusema kwamba wanachama wa chama hiki wanaua wanachama wa chama kile haisaidii ila inazidi kupandikiza chuki kwenye jamii. Viongozi watoe elimu ya siasa bila chuki kwa wanachama wao ili watambue kwamba siasa sio uadui, siasa sio matusi wala ugomvi na mwanachama ana uhuru wa kuchagua chama anachokiamini.

Wapo wanachama wa CCM wanauwawa na makada wa chadema pia lakini sidhani kama kuna kiongozi wa chama anaweza tuma wanachama waende kuua
Tukiendelea kuchochea chuki tutahatarisha maisha ya jamii zaidi
Tuhubiri upendo badala ya chuki
Wawili mbaroni kufuatia kifo cha mwana CCM Iringa | East Africa Television

Kuna maisha nje ya CHADEMA na CCM
 
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Ni kweli ni tofauti.
 
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.

Attachments

  • WhatsApp Image 2020-10-27 at 17.17.08.jpeg
    WhatsApp Image 2020-10-27 at 17.17.08.jpeg
    58.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-10-27 at 17.17.08 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2020-10-27 at 17.17.08 (1).jpeg
    56.7 KB · Views: 1
Yaani mtu aanze kufyatua risasi harafu wakurya wanamuangalia tu? Alifanya hivyo mabina (mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza) wasukuma, wakamzimisha hapo hapo. Mnyika huu ni uongo.
Mkuu hii ni kweli mm niko hapa nyamongo jamaa kweli kawaua vijana wawili, yaan hapa wakurya ndo huwa nawadharau, kiukwel ingekuwa usukumani huyu jamaa angeishia palepale, police wangekuta maiti yake tu, hapa nyamongo wakurya matukio kama haya wameshayazoea, yaan mtu anaua then anachukuliwa na police baada ya mda anarudi kitaa nakutamba sn, hasa akiwa ametokea kwny familia yenye vijisent kama huyu muuaji wa leo katokea uko wa kisire wale wenye mabasi, kiukwel inaumiza sn hili tukio ni la kwel, jamaa ni mwenyekiti wa nyabichune kupitia ccm kawaua vijana wawiwili ambao walikuwa kwenye harakati za uchaguzi unaotarajowa kufanyika kesho.
 
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Hahaaa mkuu huku bunduki zinamilikiwa mpaka na watoto wadogo, yaan mwenyekiti wa kijiji huku ni mtu mkubwa na wengi wao wanauwezo sn kifedha sabab ya madili ya mgodin, kwa hyo usishangae
 
sasa hapo ccm inahusikaje yani mnyika akifumwa na mchepuko huko basi ni chadema ndio imechepuka
Mnyika hajaoa wala hana mtoto anaishi kwa mama yake mzazi Tandika Temeke karibu na eneo la makaburini nyuma ya Madafu na pesa zote anazopata huwa anavizia vichangudoa vidada poa vichafu chafu vya tandika
 
Nani kasema Nipo peke yangu??? Matokeo yake utayaona kesho kama nipo peke yangu au tupo wengi!

Kwa ukilaza wako unaona Leo mmeshinda kwa mlivyoua watu Zanzibar?...
Nitakukumbusha hili baada ya mwaka mmoja ili nipate mrejesho.
Huwa nawaza kwanini USA haitaki ICC na ikiwa ndio inatoa haki nakosa jibu.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.

Nazani ifike muda watu wafanye malipizi!! huu ujinga wa wafaasi wa ccm kujiona wako juu ya Sheria utaisha!! Maana wanaweza kukufanyia chochote mbele ya askali na wasichukuliwe hatua yoyote!!
 
Mnyika hajaoa wala hana mtoto anaishi kwa mama yake mzazi Tandika Temeke karibu na eneo la makaburini nyuma ya Madafu na pesa zote anazopata huwa anavizia vichangudoa vidada poa vichafu chafu vya tandika
kwa iyo pale kwa wahaya ni member kumbe pale pile
 
Mnyika hajaoa wala hana mtoto anaishi kwa mama yake mzazi Tandika Temeke karibu na eneo la makaburini nyuma ya Madafu na pesa zote anazopata huwa anavizia vichangudoa vidada poa vichafu chafu vya tandika
Vipi kwenye hivyo vichangudoa wewe hajakuvizia?
 
Taarifa haija kamilika, yaani jamaa ana kichaaa au ilikua vipi?
Uko sahihi! Kwa maelezo mafupi kama hayo, lazima ujiulize kama mtu wa aina hiyo zinamtosha. Mtu aliyeaminika kiasi cha kumiliki silaha, anawezaje kushambulia watu aliowakuta mbele yake. Yaani tangu kampeni zimeanza leo ndo kakuta mkutano wa CHADEMA?
 
Mnyika hajaoa wala hana mtoto anaishi kwa mama yake mzazi Tandika Temeke karibu na eneo la makaburini nyuma ya Madafu na pesa zote anazopata huwa anavizia vichangudoa vidada poa vichafu chafu vya tandika
Tena hii ni baada ya kushindwa kulipa kodi ktk nyumba yetu pale mbezi mwisho juu ya sheli kabla ya kuvunjiwa tukamtimua.. Kumbe ameenda temeke??

Mitano tena hatuwez chezea uchaguzi kwa watu wasiweza hata kuunda serikali.. Subirin kesho tukatae serikali ya kishoga
 
Mwenyekiti wa CCM kijiji cha Matongo, kata ya Nyamongo wilaya ya Tarime akiwa na wenzake wawili, wamevamia mkutano wa Chadema wa kufunga kampeni na kufyatua risasi kadhaa jukwaa kuu wakilenga kumuua mgombea Ubunge John Heche na mgombea udiwani wa Nyamongo, Emmanuel Ryoba.

Licha ya risasi hizo kutowapata Heche na Ryoba lakini zimewapata baadhi ya wananchi waliokuwa kwenye mkutano huo ambapo watu wawili wamejeruhiwa vibaya na wawili wameuawa. Askari polisi walikua eneo la mkutano na hawakuchukua hatua zozote wakati viongozi hao wa CCM wakifyatua risasi kuua watu.

Hata hivyo polisi wametumia nguvu kuwazuia wananchi wenye hasira waliotaka kulipiza, badala yake wamewakamata viongozi hao na wanashikilia kwa mahojiano.!
 
Back
Top Bottom