John Mnyika na Sakata La Maji Ubungo, Waziri Aanza Kuwajibika

Huyu Mbunge wangu ni kichwa kweli, amewashika pabaya sana, ole wao wacheze na hili suala.
 
Hapa haingaliwi elimu bali utendaji na nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi!!! Prof wenu CCM B amefanya nn zaid ya kujitapa kuisadia jumuia ya Ulaya kuondokana na mdororo wa uchumi na TABORA kwenyewe hawana hata baiskel ya kubebea wamama wajawazito kuwapeleka vituo vya afya!
Mnyika kAZA bUTI!!!
 
USIOGOPE`
 
Mnyika hongera sana,ndugu zangu propaganda zinazofanywa na magamba ni hatari kwa mustakabali wa nchi yetu na zimetuletea athari ambayo inaikabili nchi,tuwe makini nazo maana wanataka cdm iache kudeal na mipango ya m4c waanze kujibizana nao na mara utaiona 2015 hiyo
 
Yaani serikali ya Tanzania inayoongozwa na chama cha CCM ni sawa na yule dogo hapa home mpaka niseme ovyo au ni mshikie fimbo ndipo afanye Home Work!
 
Kwa hiyo hatutaandamana? ukweli najua hawawezi kutekeleza hawa CCM, tuandamane tu.
 
Mheshimiwa inabidi ufwatilie kote mana si goba tu, kuna mbezi makabe huko hakujawahi ona maji ingawaje mabomba yapo. Kibamba zamani maji yalikuwa hayakatiki lakini siku izi yanakatika mara kwa mara, huko tuendako yataishia kabisa kama ilivyo kwa kimara
 
Yaani serikali ya Tanzania inayoongozwa na chama cha CCM ni sawa na yule dogo hapa home mpaka niseme ovyo au ni mshikie fimbo ndipo afanye Home Work!

yaani ndallo unamshusha hadhi sana huyo dogo wako. Huyo dogo ni bora mara 1000 kwa CCM
 
Safi jj mpaka mwsho tatzo lao wanaagalia uchama bdala ya kuwaangalia wananch hli ndo lnadhorotesha maendeleo
 
Mnyika pitia makabe fanya mobilization hata kwa kuchangia maana bado wanategemea malori. Hakuna hata mabomba hamna kisima. Wananchi wa wasiomudu matanki wanauziwa ndoo sh mia tano. Karibu uku mbunge wetu.
 
Anayajua ya Makabe, CCM ni wabaya sana, wameharibu jiji. Sasa watalijua jiji.
 
Back
Top Bottom