John Magufuli: Ninautamani urais!

Kwa utendaji na usimamizi wa wizara aluzopita na anazoendelea kufanyia kazi hana mpinzani. Ni jembe na ni hodari wa karne. Watanzania tuutumie hii nyota ibayong'aa. Tumpe nafasi atutumikie
 
Kwa utendaji na usimamizi wa wizara aluzopita na anazoendelea kufanyia kazi hana mpinzani. Ni jembe na ni hodari wa karne. Watanzania tuutumie hii nyota ibayong'aa. Tumpe nafasi atutumikie

Nakubaliana na wewe 100/100 kama unazungumzia Uraisi wa TFF, maana uko hakuna mali za umma za kuuza.
 
Nakubaliana na wewe 100/100 kama unazungumzia Uraisi wa TFF, maana uko hakuna mali za umma za kuuza.
Yea. Hakuna saccos ya wachaga wala ukumbi wa disco wa kufanyia uzinzi kama ule wa bilicanas
 
kama ni kutamani tu, mwache aendelee kutamani maana kila mtu anauwezo wa kutamani
 
hakuna shaka kuwa hadi sasa wagombea waliotangaza nia urais 2015, mtu pekee mwenye haiba ya uongozi, uzalendo wa hali ya juu, uwezo na msimamo ikiwamo kufanya maamuzi makini na sahihi ni waziri wa ujenzi john pombe magufuli.

mtu huyu hana makuu, hana majivuno, hana kashfa pamoja na kwamba amekaa serikalini miaka nenda rudi. amejijengea historia iliyotukuka na yenye mvuto wa kipekee.

TUMUAMINI TUMPE NCHI....TWENDE NA MAGUFULI 2015
 
Magufuli ni jembe,CCM wakimteua huyu watapata kazi rahisi sana kwenye uchaguzi wa 2015..

Kwa uwezo wa utendaji kazi,hakuna mwanasiasa yeyote hapa nchini anayemzidi Magufuli kwenye hilo, akiteuliwa huyu kura yangu anayo...
Huyu Dr akitangaza nia wote tujiandikishe mapema kupiga kura.sisi huku Itigi lamiq mtupu
 
Hivi unajua endapo CCM itampa nafasi 'Mhe Magufuli ,kwa Mara nyingine tena -CCM itapata ushindi wa kishindo..
Hakuna mwanasiasa Tanzania kwa sasa Anae Pendwa na kueleweka Kama Mhe Magufuli ...Fikra Zake ni za wakati huu...raisi mtendaji muwajibikaji na mchapa kazi..vile vile mcheshi... Haya kazi kwenu wapeni wababe wa uta is wanao usaka kwa nguvu...
Nashauri...kutoka kwa wengi tuna mpendekeza Magufuli..
 
Tamaa za Watu za kuwa viongozi nyakati za chaguzi utaziona lakini viongozi wa kweli wapo na wala Kauli zao zinatosha kabisa rushwa ndani ya CCM na Tamaa...mkikosea ndani ya CCM imekula kwenu...tumieni ma hela ku buni buni ma vyama mapya...
Acheni zenu mpeni Mhe Magufuli...
 
Japo miccm yote mijizi lkn Afadhari kidogo. Tatizo lake ni kuwa hana hela za kununulia urais km afanyavo fisadi na jambazi sugu lowasa
 
Kama Mhe Magufuli atachukua form basi Watanzania hawata Kua na haja ya kufanya chaguzi ...Magufuli anaeleweka, ni Mfano unaopendwa Kila kuona ya Tanzania ...Nani Anae pinga?
 
Mtanzania ata Amua mwenyewe achukue form kupitia chama anacho kipenda yeye mwenyewe?
 
CCM - Ni Mark tu anaweza kuwasogeza sogeza kwenye kinyanganyiro cha October!!
 
Magufuli ni waziri bora kuliko wote hawamu híi ya nne, Waziri huyu ameonyesha ujasiri wa hali ya juu kwenye kusimamia sheria na miradi yote ya barabara iliopo chini ya wizara yake! Watu wanajifanya wanamaamuzi, nani mwenye maamuzi magumu kama Magufuli asietishwa na ukubwa wa pochi ya mtu? ni Lowasa? BIG NO!, Nani alietoa mchango wa kuonekana kama huyu mzee? Wanaosafiri kwenye barabara zetu watakubaliana na mimi! Tatizo la huyu mzee n mtendaji na siasa sio fani yake, HUYU NDIE WA KUOMBWA AGOMBEE HASA NA WANYONGE WA NCHI HII
 
Back
Top Bottom