John heche muhimbili

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,021
[h=6]

https://www.facebook.com/profile.php?id=100002659456794
John Heche

[/h][h=6] Nimesikitishwa sana na hali niliyoikuta leo Muhimbili hospital, Watanzania wenzetu wanakufa kwa kukosa huduma wakati viongozi wa serikali wakiugua wanaenda kutibiwa Appolo India kwa kodi zetu, leo wanashindwa kuwalipa madakitari millioni 176 waokoe maisha ya ndugu zetu, vijana wa Tanzania amkeni tuokoe nchi hii, MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA HAYAWEZI KULETWA NA MAFISADI WALEWALE WA CHAMA KILEKILE WAKIENDELEZA YALEYALE, ETI KWA KASI, NGUVU NA HARI MPYA,[/h]
 
nimependa hio ganda ukija nalo niko nyuma yako kaka tuanzishe maandamano hii nchi inanuka imeozaa lakini atutaaribika wote
 
Back
Top Bottom