John Heche akiri CHADEMA imeandaa mkakati wa kumpeleka Dr. Slaa ikulu 2015... Shame!!!

Pamoja na hii ID kujulikana huoni aibu kuitumia?

Hii ID tangia niijue inanichefua sana. Taifa hiili litajengwa na wenye nia ya kweli ya maendeleo ya watanzania na sio nyinyi vijana wenye nia mbaya za ubinafsi ambazo hatuwezi kuzitofautisha na za chama tawala miaka yote hii.
 
Tuntemeke, ni lini umehama Chadema? au kwa sababu kwa sasa upo MASALIA ya ZITO??? tumewastukia

Kakita hali ya kuonesha namna baadhi ya viongozi wa juu wa CHADEMA walivyojipanga kufanya mchezo mchafu kinyume na demokrasia inavyotamka ndani ya chama kuelekea 2015 kwenye uchaguzi mkuu.

MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA JOHN HECHE JANA AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MKOANI ARUSHA AMESEMA MANENO ALIYOTUMWA KUYASEMA KWA NIABA YA CHAMA NI HAYA HAPA.nanukuu.

"NAYE MWENYEKITI WA TAIFA WA BAVICHA JOHN HECHE ALITANGAZA KUWA CHADEMA KIMEJIPANGA KUMPELEKA IKULU KATIBU WAKE MKUU DR.SLAA KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO MWAKA 2015"

Chanzo:Gazeti la mwananchi(23/12/2012)
Ukurasa:4

Swali:chadema ndio mpango wenu huu,mmemtuma HECHE kuyasema haya?

CHADEMA: Hamuoni kama mnadhihihilisha maneno ya M/kiti bavicha kuwa heche anatumika, pia analipa fadhila za kupewa uenyekiti?

Kamati kuu ipi ilikaa na kuidhinisha hili jambo,Kumbe kuna vikao nje ya kamati kuu ya chama ya kuendesha chama??

NO CHOICE,BUT DEMOCRACY
 
Kazi imeanza tena kumbe Chadema imeishateuwa mgombea wake wa kiti cha urais.
Demokrasia ndani ya CCM ni kubwa sana ndiyo maana walilazimisha spika awe mwanamke na mwenyekiti wa UVCCM atoke Zanzibar,hongereni sana kwa kupanua demokrasia, na huu ni mfano mzuri wa kuigwa!!
 
Dr. Slaa ndiye deafault mgombea.Na wana CDM wengine wanaotambua chama kina hitaji mkakati wa kuitoa CCM kabla ya kuwa na uhuru na nguvu ya kuinfluence ushindi wa urais kiasi cha mgombea yeyote kuweza shinda ,hawaoni haja ya kumchokonoa Dr. ingawa Dr. mwenyewe anweza ikataa hiyo nafsi ila bado anajua kuwa atakuwa kawadhulumu sana watanzania kama ushindi utapotea just because hakugombea.
 
leo ndio umejiunga humu au?

Hata mimi nashangaa, kama angekuwa mfuatiliaji wa kila thread inayotupiwa humu angeshajua hhhiyo Id inatumikaje? Ila sishangai ndo wale wale, napinga sana siasa za majungu kisa kumtengenezea njia mtu fulani kwasababu umehaidiwa kitu flani hapo baadae.
 
Nilisema si mwanachama wa chama chochote ila ni mshabiki wa chadema na mageuzi kwa ujumla.Usidhani kwamba nimeshindwa kujipendekeza kwa magamba,siyo style yangu hiyo,nina msimamo usioyumba na sina unafiki.

Siyo kama wewe watu hawaelewi ulivyokuwa mnafiki,eti wanakufagilia unapowapa chadema ushauri kwasababu tu hutaki masalia watolewe nishai.Wewe umejiunga hapa mwaka jana unajiona kama vile unafahamu watu.Acha kukurupuka.

Kuna mtu mnafiki kama wewe? Una msimamo gani wewe kutetea Chadema? Na kuuwatukana waislam, kuna mtu mdini kama wewe humu JF.

Halafu usijifanye unanijua sana wakati hunijui. Eti nimejiunga mwaka jana unijui kaa kimya.

Anayenijua nimejiunga lini JF ni Invisible, na baadhi ya members ambayo ni marafiki zangu.

Hujui ID's zangu za zamani hujui kwa nini niliamua kutumia Ritz, hujui ID's zangu ngapi zimepigwa life ban na zingine zimeunganisha...Mnama acha kukurupuka kauzu kweli wewe.
 
Naona unaliletea masaburi yako na mimi hiyo si michezo yangu,peleka huko ambako huwa wanakubaruza sitaki uchafu mimi.

Nani kakwambia ujipendekeze kuniquote wewe kama si shoga?Eti najifanya kukujuwa,nani anataka kukujuwa wewe?Situmii viboga,wewe si ulikuwa na avatar ya mwanamme aliyeko uchi wa mnyama kama anasubiri kupelekewa?Sina haja ya kukujuwa wewe maaluni.Mnafiki na mwenye tabia za kishoga.

Na kusema wengine ni wadini ndo wewe?Mjinga wa mwisho wewe.Weka posti yangu ya udini hapa na mimi nikuwekee ujinga wako hapa.
 
Hujui ID's zangu za zamani hujui kwa nini niliamua kutumia Ritz, hujui ID's zangu ngapi zimepigwa life ban na zingine zimeunganisha..
Teh teh teh! Ritz bana anamikwara kweli kweli,Kwa hiyo wewe ulikuwa Malaria Sugu au Faizafox?
 
Last edited by a moderator:
ulitaka aseme wana mpango na mamvii???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Naona unaliletea masaburi yako na mimi hiyo si michezo yangu,peleka huko ambako huwa wanakubaruza sitaki uchafu mimi.

Nani kakwambia ujipendekeze kuniquote wewe kama si shoga?Eti najifanya kukujuwa,nani anataka kukujuwa wewe?Situmii viboga,wewe si ulikuwa na avatar ya mwanamme aliyeko uchi wa mnyama kama anasubiri kupelekewa?Sina haja ya kukujuwa wewe maaluni.Mnafiki na mwenye tabia za kishoga.

Na kusema wengine ni wadini ndo wewe?Mjinga wa mwisho wewe.Weka posti yangu ya udini hapa na mimi nikuwekee ujinga wako hapa.

Kamanda mbona matusi yanakutoka ovyo lakini sishangai ndiyo CV za Pro-Chadema JF lazima uwe umebobea kwenye matusi.

Kamanda huna matusi mapya tujifunze kutoka kwako umetisha kamanda.

Makamanda wanakusifia sana kuwa wewe ni kiboko kwa matusi.
 
Ukija na hoja unajibiwa hoja.Kauzu siyo tusi?Halafu unamwita nani mnama wewe mkabila?Sikujui hunijui!Mind your own business!
 
Kichefuchefu!Hamchoki?Mimi nawahakikishia hamtafanikiwa.Hiv lakin mbona mnajichosha kumsafisha huyu kilaza mpenda madaraka kama nini!Uenyekiti autake,kiongozi kambi ya upinzani ang'ang'ane,urais nao anautaka,hana nia ya utumishi bali ujiko tu.mbona ni naibu katibu mkuu,naibu wa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani,mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya mashirika ya umma,wazir kivuli wa fedha lakin hatuon cha ajabu anachofanya?Kama huyu bwana angekua mtu safi asiyekuwa na makonakona kwa nini asijiamini kwamba anaweza kuishawishi kamati kuu impitishe bila kuunda vikundi vya uasi ndani ya chama?mimi ni mwana cdm active nakipenda sana chama lakin kama akigombea urais huyo hata kura sitampigia.
 
Zitto kweli hana aibu, bado anaitumia ID hii!!

Fanya kazi Zitto imarisha chama , acha unafiki, acha kujiona wewe tu ndio mwishi ilhali huna chochote!!
Kwa taarifa yako watu wanazidi kukudharau najua unajua lakini hujui kuwa waTZ wanamwamini sana DR Slaa.....!!
Hta hao magamba unaowatumikia walijua hilo kuwa Dr ni kiongozi mzuri sana huwa wanakiri wakibanwa!! Unakumbaka S Sitta alisemaje?
 
Back
Top Bottom