John Francisco Nzilanyingi: Fisadi anayekuja kwa kasi zaidi Tanzania

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,826
5,451
Wakati vita ya kupambana na ufisadi ikisonga kwa kazi nchini Tanzania kumeibuka kijana mmoja ambae ni fisadi zaidi ya wale wa Richmond, EPA na ESCROW. Kijana John Fransisco Nzilanyingi ambaye ni rais wa kitivo cha Elimu katika chuo kikuu cha Dodoma na pia mwenyekiti wa TAHLISO ameweza kujikwapulia zaidi ya mil. 15 za serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma.

Toka historia ya chuo imeanza, hakuna Kiongozi amewahi kufanya ufisadi wa hali ya juu kama huyu John Fransisco.

Nilipata fursa ya kuhudhuria vikao vya bunge la serikali ya wanafunzi toka mwanzo hadi mwisho na ninakumbuka siku naibu waziri wa Katiba na Sheria mh. Charles Josias alipo ibana serikali ya wanafunzi juu ya kutumika kwa sh. Mil. 7 ndani ya miezi mitatu na ofisi ya Rais bila hata kupitishwa na bunge. Naibu waziri Charlz aliibana serikali hadi bunge likavunjika kwa wizara ya fedha kuagizwa Financial report.

Taarifa za ndani toka kwenye baraza lenyewe zinasema naibu waziri Charles Josias alifikia hatua ya kujiuzuru ambapo aliombwa na serikali na utawala kutojiuzuru ili kuhakikisha serikali haivunjiki.

Pesa zilizo pitishwa na bunge kufanya kazi wizara mbalimbalu haikutolewa na wizara za Marafiki zake kama waziri wa Afya na waziri wa michezo zikitengewa zaidi ya million moja huku wizara nyingine zikitengewa elfu 50. Posho pia zilizo pangwa na bunge hazikulipwa kabisa kwa mawaziri na manaibu mawazili pia wabunge.

Kioja cha mwisho ni siku ya kuvunja bunge ambapo fisadi lingine ambalo ni Waziri wa fedha, Shabani Ramadhani, alibanwa na waziri wa Mikopo Mh. Mpandalume Simon juu ya majina feki kama Said Omary waliolipwa posho ya uwaziri lakini yakiwa majina hayo sio majina hata ya wanachuo.

Kiukweli nawatahadharisha Watanzania wenye Makampuni, Mashirika na Taasisi nyingine za umma kuwa makini na Jina John Fransisco Nzilanyingi na vibaraka wake kama Shaban Ramadhani. Pia wananchi jueni kuwa kuna joka la makengeza linaandaliwa ama limejiandaa kumrithi joka kubwa la makengeza hivyo jimbo lolote atakalo gombea Tanzania hii tuitane tukamchane fisadi huyu.

Hongera wapambanaji wetu Mpandalume Charlz na yule waziri wa matangazo na dada wa mikopo. Mungu atawalipa kwa kujitoa kwenu kwa manufaa ya Taifa.

You can fool some people for some time but you can not fool all the people all the time.
 
kwa sasa amekosa aman hapa chuo, dhambi ya usaliti kwa wanafunzi wenzake inamtafuna na kumtesa
 
Hili dogo jizi sana limenunua alteza hapa chuo du linalinga utafikiri limetoka nalo kwao kumbe ni pesa za udoso,lile jiwe bora km lilimpata aiseee jinga hili jitu hapa education
 
Huyo jamaa anaishi pale block H first floor! kweli jamaa halina a mani kudadadeki lazima alteza tuitaifishe iwe Mali ya udoso kila raisi awe anatumia na tunawakabidhi Brock R wafuga nguvu pindi serikali inapomaliza mda wake .

John ulaaaniwee na kizazi chako chote
Amina.
 
Kumbe huko kuna nchi na rais kabisa ,pamoja na mawaziri na wabunge wake? Hongereni sana
 
hivi kuiba milioni 15 kunakupa hadhi ya kuitwa FISADI????tena za serikali ya wanafunzi sio nchi???acheni kumkweza huyo ni kibaka tu ila adhibitiwe mapema kabla hajakuwa zaidi
 
mbona hatar bandugu madesa yatasomwa kweli hpo mbona majangaaaa! majangaaaaa! hafiki mbali huyo akitaka zake atafute mwenyewe za jasho lake ndo aringe. hilo jina kwanza ni kesi nzilanyingi!!!!!!!!!!
 
hv watu wa UDOM nani kawaroga.....JOSIAS CHARLES naye ni kiongozi wenu???mburulaz
 
Back
Top Bottom