Jogging Club

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Vijana Dar tunatia aibu...kila mtu kavimba tumbo na watu wengi wamekuwa diabetic kwa sababu ya kula sana mafuta, nyama, chipsi, mayai, sukari nyingi na vyakula ambavyo vingi ni madhara makubwa sana mwilini.

Ukitaka kuamini nenda Zhon Hwa utashangaa vijana umri wetu wanavyozeeka katika kazi ya ajabu....kwa sababu ya unhealthy lifestyle.


Siku ya Jumapili huwa nakuwa inspired na jogging clubs mbali mbali zinazokuja Sea View na Ocean road kufanya mazoezi...na wengi wao wanatoka as far as Temeke na kwingineko...so got this idea.

Nataka kuanzisha Dar jogging club ambayo of course itajumuisha watu mbali mbali na tutajiwekea targets mbali mbali katika kipindi cha miezi 6 ijayo

Mind you its well and good kwenda gym lakini dawa ya viungo na kukata vitambi ni jogging...

Manasemaje? niko tayari kushirikiana na watu mbali mbali ili hii club iwe mfano wa kuigwa

suggestions zinakaribishwa
 
nipo ndani ya kundi, labda tupange muda na siku na wapi tuna kutana ili kupunguza vitambi
 
Wazo zuri sana hili, tatizo wabongo wengi wanachukulia kuota kitambi kama kuyapatia maisha...
 
Back
Top Bottom