KERO JOGGING CLUBS ziheshimu Sheria za Usalama Barabarani. Zimekuwa kero kwa watumiaji wa barabara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,287
2,045
Wadau siku hizi kumekuwa na Mtindo wa Watu kufanya JOGGING Asubuhi maeneo mbalimbali ya JIJI.Kwanza nawapongeza kwani Wanaiweka imara Miili yao.

Pamoja na Kuwapongeza NAWALAUMU sana kwani Wamekuwa Chanzo cha USUMBUFU wa MAGARI Barabarani.

Wakati Wanafanya JOGGING wanapita KATIKATI ya Barabara na kusababisha FOLENI KUBWA ya Magari ikiwasubiri.Kumbuka Wao ni kama Wanastarehe lakini Wenye Magari wanakuwa wanataka KUWAHI kwenye SHUGHULI zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupeleka WAGONJWA Mahospitali lakini JOGGING huwachelewesha.

KERO hii nimekutana nayo MASAKI na OSYTERBAY kuna JIGGING GROUP ya Mtangazaji MAULID KITENGE ukweli imekuwa KERO KUBWA

Tunaliomba JESHI la POLISI Kitengo cha USALAMA BARABARA Itoe NENO juu ya haya MAKUNDI ya JOGGING Jijini DAR Yaheshimu Sheria za Usalama Barabarani ili kutokuwa KERO kwa WATUMIAJI wengine wa BARABARA ZETU na ukizingatia BARABARA ZETU nyingi SIO PANA.
 
Pamoja na Kuwapongeza NAWALAUMU sana kwani Wamekuwa Chanzo cha USUMBUFU wa MAGARI Barabarani.Wakati Wanafanya JOGGING wanapita KATIKATI ya Barabara na kusababisha FOLENI KUBWA ya Magari ikiwasubiri.Kumbuka Wao ni kama Wanastarehe lakini Wenye Magari wanakuwa wanataka KUWAHI kwenye SHUGHULI zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupeleka WAGONJWA Mahospitali lakini JOGGING huwachelewesha.KERO hii nimekutana nayo MASAKI na OSYTERBAY kuna JIGGING GROUP ya Mtangazaji MAULID KITENGE ukweli imekuwa KERO KUBWA

Huyu muuza ganda anapata support kubwa sn toka kwa mafisadi
 
Du, afadhali sisi tunaoishi uswazi, hakuna huu usumbufu wa walioshiba, ugumu wa maisha ni jogging tosha.
 
Kwanza ni uvunjifu wa Sheria... Viwanja vimejaa mitaan kwao kwanini wasivitumie?, Wana bahati kijigari changu niliuza walllah ningetoa jitu fuvu.
 
Nijuavyo mimi barabara ya njia mbili kwa mfano, hapa ya hutenganishwa na mstari mweupe either dotted, full au full miwili kulingana na usalama wa eneo husika, kwa pembeni barabara hufungwa kwa mstari wa njano ambapo watumia barabara wasiotumia vyombo vya moto hupita. Swali langu ni je, hawa wanaojogg, ni watumia barabara wasiotumia vyombo vya moto au ni wanamichezo?

Nimeuliza hivi kwa sababu jibu lolote kati ya hayo mawili haliko sahihi kwa wanaojogg, sio watumia barabara wasiotumia vyombo vya moto kwa sababu wanapita kwenye "lane" yaani katikati ya barabara ambapo pako kwa ajili ya vyombo vya moto tu. Na kama ni wanamichezo basi barabara haiwezi kuwa sehemu ya michezo labda iwe kwa kibali maalumu kwa muda maalumu ambao hata watumiaji wengine wa barabara watakuwa na taarifa hiyo.

Concern yangu; hii kero haipo masaki pekee bali kila pembe ya nchi hii. Nashauri hili jambo liangaliwe upya kwa usalama wao maana wao ndio wapo kwenye hatari kubwa zaidi lakini hawajijui ndio maana hupita katikati ya barabara wanatamba na kibendera chekundu

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Wadau siku hizi kumekuwa na Mtindo wa Watu kufanya JOGGING Asubuhi maeneo mbalimbali ya JIJI.Kwanza nawapongeza kwani Wanaiweka imara Miili yao.

Pamoja na Kuwapongeza NAWALAUMU sana kwani Wamekuwa Chanzo cha USUMBUFU wa MAGARI Barabarani.

Wakati Wanafanya JOGGING wanapita KATIKATI ya Barabara na kusababisha FOLENI KUBWA ya Magari ikiwasubiri.Kumbuka Wao ni kama Wanastarehe lakini Wenye Magari wanakuwa wanataka KUWAHI kwenye SHUGHULI zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupeleka WAGONJWA Mahospitali lakini JOGGING huwachelewesha.

KERO hii nimekutana nayo MASAKI na OSYTERBAY kuna JIGGING GROUP ya Mtangazaji MAULID KITENGE ukweli imekuwa KERO KUBWA

Tunaliomba JESHI la POLISI Kitengo cha USALAMA BARABARA Itoe NENO juu ya haya MAKUNDI ya JOGGING Jijini DAR Yaheshimu Sheria za Usalama Barabarani ili kutokuwa KERO kwa WATUMIAJI wengine wa BARABARA ZETU na ukizingatia BARABARA ZETU nyingi SIO PANA.
tpaul
 
Back
Top Bottom