Not only pressing the button;pressing on the right organLissu press that button harder, they have started to feel it. Just keep on pressing.
Ajavunja sheria ila njaa zinamsababisha kwenda kulia lia ughaibuni ila usijadanganye kwamba atampiga chini mwenye chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ushahidi( mkeka) alishautoa wa malipo ya Lisu? Mbona anataka kuanzisha lingine wakati moja halijaisha?Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Mshahara analipwa mtu ambaye yupo kazini au nje ya kazi kwa sababu za msingi na kwa taarifa kwa anayemlipa mshahara.
Ni kweli Lissu inafahamika alipatwa na tukio la kinyama sana la kupigwa risasi ila haipendezi kusikia kuwa chama chake kwa niaba ya mhusika kilishindwa kumpa spika taarifa rasmi pamoja na taarifa za madaktari juu ya maendeleo ya Lissu alipo kwa ajili ya matibabu.
Kingine, kwa sasa Lissu ameonekana kuimarika kwa kiasi kikubwa, jambo ambalo kila mmoja wetu anapaswa kumshukuru Mungu kwa kuendelea kumpa neema ya uhai. Hivyo ikiwa amepewa muda wa kuwa nje ya hospital ilikuwa ni busara kwa Mhe Lissu kurejea nchini kwa ajili ya kuonana na familia yake, jamaa na marafiki zake kubwa zaidi wananchi waliompa ridhaa ya kuwawakilisha bungeni pamoja na wasamaria wema waliomchangia matibabu.
Angefika kusema asante, angefika angalau kwa muda huu mchache aendelee na uwakilishi wa wananchi wenzake pale bungeni mpaka hapo atakapohitajika kurejea hospitalini. Kinyume chake ameamua kufanya ziara za kuishutumu, kuishambulia na kuharibu taswira ya serikali yetu ya Tanzania katika nchi Ulaya na Marekani. Jambo hili halina afya kwake wala kwa chama chake.
Ni hatari kukubali kuichafua nchi yako sababu unalipwa au unataka kupata ushawishi kwa wananchi walio wengi. Huku ni kukosa uzalendo.
Namalizia kwa kushauri, dereva wake bado ni shahidi namba moja ambaye anaweza kulisaidia jeshi la polisi taarifa za msingi juu ya tukio hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
gaiNdu-what???
Hekima kitu bora sana.Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Kanuni zinasemaje juu ya muda wa kutokuonekana kazini ndipo uhesabiwe mtoro kazini? Zaidi ya mwaka siyo?Lissu ni mtoro kazini,hiyo ndo pointi ya msingi mengineyo ni porojo tu
Ndugai hasomi magazeti, haangalii Voa na hawasiliani na Serikali au mabalozi wao huko USA Belgium na Germany!Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Wenzetu waliombele kwenye mambo ya sanaa ya uongozi huwa wanatumia akili kupambana na washindani wao kisiasa, Kwa kuwanunua,kuwateua,kuwaweka karibu,kutokuhangaika nao,hawa utumia zaidi nguvu kuliko sanaa ya akili kummaliza mshindani wako.Thus ujikuta wakiharibu zaidi.Action yeyeto juu ya Tl itazidi kuwabomoa zaidi dunia inafatilia kila action kumnyma stahiki zake itaiaminisha dunia kumbe ni kweli.Kauli za Magu zimekuwa mifano halisi katka kujibu maswali anayoulizwa pindi Lissu akiwa anahojiwa
Kauli za Magu zimekuwa zikiwapa wakati mgumu mabalozi na watu wengine wanapojaribu kumtetea pale Lissu akiweka mambo hadharani
Kama kuna kitu wasiojulikana walikosea basi ni kumshambulia mwanasheria na zaidi ni mwanasiasa na inabidi mjuute maana ye anapigana na maadui anaowafahamu ndio maana tunasikia kila aina ya vilio
Tuache siasa,hata ungekuwa wewe ndio muakiri wa Lissu usingemlipa mshahara kutokana na sababu zifuatazo,1.Ukiwa mgonjwa na mwajiri wako anajua mgonjwa umelazwa hospitali utastahili uipwe mshahara sababu upo hospitalini umelazwa na unaumwa,lakini ghafla anakuona mgonjwa haupo hospitalini na hujatoa sababu ya kutokuwepo hospitalini ,halafu anakuona ukiserebuka mdumange kwenye vijiji vya mbali basi ,mosi atakuona umepona na pili atakushangaa kama umepona na unaweza kwenda kucheza ngoma vijiji vya mbali badala ya kurudi kazini hapo si utakuwa umjiachisha kazi.Tushukuru tanzania sio kama nchi za Ulaya au Marekani,haiwezekani mgonjwa ukaonekana mitaani unafanya yako wakati ruksa yako ilikuwa ya ugonjwa halafuuje udai mshahara,hilo ni kosa la wizi na hapo hapo Lissu angekuwa rupango
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Hahaaaa akijirizisha kuwa hawezi shambuliwa tena anaweza kuamua kurudi
Sawa kabisa kusimamisha mshahara wa Lissu. Hata mfanyakazi mwingine wa umma ukiwa mgonjwa kwa zaidi ya miezi mitatu na jopo la madaktari wathibitishe kwamba unaumwa kweli, utastaafishwa kwa ajili ya afya yako na kupewa nusu mshahara kwa miezi sita inayofuata. Kama utaendelea kuumwa baada ya hapo basi utastaafishwa moja kwa moja. Kwa Lissu hakuna daktari aliyeleta taarifa na Lissu mwenyewe yuko anazunguka ulimwenguni akitukana mwajiri wake na kuidhalilisha nchi kwa ujumla. Ni sahihi kabisa kusimamisha mshahara wake. Hela zetu za wanyoge kutoka kwenye kodi zisitumike kumlipa mtu ambaye anakwenda kututukana kwa mabwana zake.Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari