Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana.

Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu.

Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi kwa manufaa ya taifa letu kwa ujumla.

Huko Ngorongoro ndio kuna utata mkubwa. Tunaambiwa na wajuaji kuwa waarabu wameshanunua wanyama na maeneo kwa manufaa yao na wanasiasa waliopo madarakani.

Mnapigwa mnada huku mnaona kwa macho yenu.
Kwa hiyo huyo Mwamba aliye tabiri tutapigwa mnada, haongozwagi na tumbo?! Kuna akili kidogo kwenye kile kichwa?!
 
Tatizo lako ndio hilo chuki za kishamba. Kama ubunge ukishapoteza tu.
Sijawahi kuwapenda majizi ya kura. Kwa bahati sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali shabiki wa cdm. Sasa sijui ubunge gani niliopoteza. Ni hivi, jizi lolote la kura ni la kupingwa kwa chochote.
 
Back
Top Bottom