OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,695
- 106,068
Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu.
Spika Ndugai alitoa kauli hiyo mchana wa Januari 7, 2019 alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake akisema Profesa Assad alilidhalilisha Bunge.
Ndugai alisema CAG akiwa nje ya Tanzania wakati anahojiwa na Idhaa ya Kiswahili alisema Bunge la Tanzania kuwa ni dhaifu.
My Take
Karma is a bit$$ch