Jmk hakumwalika swahiba wake el ktk harusi ya yusuph?????

Sjiui hii tabia kwamba kila aendapo rais (ndani ya Tanzania) anaenda na kiti chake ni idea ya nani? haya ni madharau makubwa wa wananchi wa kawaida, na naweza kusema ni PR blunder kubwa sana. Kama wamejiwekea protocol kwamba kila aendapo rais lazima akalie kiti hicho hicho au kinachofanana, kwa nini wasibabane na hivyo viti wakati akiwa nje ya nchi? Ina maana Rais hana shida kukalia kiti cha aina yoyote nje ya nchi, lakini hapa Tanzania yeye is too special lazima awe na kiti tofauti na maskini? Nyerere alikuwa anakalia mpaka vigoda. Na kati ya vitu vilivyomfanya Nyerere akakubalika kwa wananchi ni kule kutokujifanya yeye ni special.

Niliona hii tabia kwa Mkapa sasa naona Kikwete anaiEndeleza lakini ni wakati wakiwa ndani ya nchi. Mdharau kwao - mtumwa!
 
Si nilishasema huyu kikwete ni mjinga wa kupindukia? Hii nyumba ni ofisi ya watanzania na kitendo cha kutumia hii ofisi kwa ajili ya harusi za ndugu na hata watoto zake au shughuli binafsi ni kuwaeleza watanzania kuwa hamtafanya lolote na nitafanya lolote nitakaloamua. Fedha na mali za watanzania ni kama assets za familia ya kikwete na ccm. Kuwa na wajinga kama hawa serikali kweli ni hasara kwa taiafa, hivi nyine ccm kikwete alipendekezwa na nyie 2005? Kweli ccm wote ni wenda wazimu kupindukia.

Tunarudi palepale ni hii katiba ya wahuni inasababisha yote haya kama wajinga wana-support huu upumbazu basi sisi tutahakikisha hayatokei tena haya. Never and never in our watch. Unafikiri there any inquiry here, who has power to investigate this crap and punish these people?

What next? kikwete atachukua hii nyumba kama raisi mstaafu sio, tunajua nationa housing they are working on this.
 
Kwani hapo kutakuwa na ufisadi maana huenda serikali imechangia hiyo shughuli kama walinzi na facilities za serikali kama vyombo vya usafiri, wandishi wa habari wa serikali kufanya coverage na who knows may be TBC as well mwenye more news atujulishe.

kwani hamkuona harusi ya royal family kule uk majuzi? Watu wanafurahi, hakuna aliyeleta zengwe! Watz bwana, kwakuwa anaenda harusini mlitaka aache gari ya ikulu aende na bajaj? Aache mlinzi aende peke yake? Wasaidizi wake wasi mu accompany? Haiwezekani! Harusi kufanyika ikulu na viwanja vya ikulu ni vitu viwili tofauti, mbona pale ilala boma ni ikulu ndogo na kuna ukumbi wa matukio mbalimbali kama harusi? Na watu mbali mbali wanafanyia pale? Au kwakuwa amehudhuria jk ndio imekuwa nongwa?
 
aliyekuwa anaoa ni mwana malikia ni mfalume mtalajiwa pia ni prince wewe
vipi unachanganya familia ya kikwete na royal family harafu walitumia mali zao sio za serikali uliwaona namba 10 DOWNING STREET
hacha kuongea tu kama bata.
harusi ya ni ghalama za familia na huyo dogo ni mtumishi wa hiyo familia yaani uflume so hiyo inaeleweka kabisa na mavazi nadhani ni ishara tosha kwamba huyo ni mtawala bu defualt
 
This man ndiye mmoja wa watu wa karibu sana wa JK .Yes ni ndugu anaitwa Yusuph Mrisho Kikwete ni mkurugenzi wa kampuni inaitwa Cargo Movement Company Limited wako wana ndugu wote .Kampuni hii pia wamekuwa wakipeleka watu kwa Ngeleja ili kufua umeme Tanzania .Yaani huyu akisea Ngeleja kimya eti wao ndiyo wanampigia debe kwa JK .Yes JK anamsikiliza sana huyu jamaa sana sana .Ni mkubwa kwa JK nasikia .Ukishangaa anaoa leo nadhani hakuna haja maana ni kawaida hawa kuoa kila kukicha .JK je na mambo haya ? Ukitaka kumuona nenda best bite pale Morocco utawakuta hapo ndiyo kijiwe chao .

basi hapo ndipo kikwete kajifichia kibiashara na familia yake sio,
 
Wana JF tupunguze uwongo jamani. Harusi imefanyika bagamoyo!
Huyu kacopy picha za Michuzi hata source hajaweka na kaongeza fitna zake. Tuwe wakweli jamani.
LINK YENYEWE HII HAPA KACOPY
matukio-michuzi: Yusuf Kikwete na Mariam Ombaka walivyomeremeta bagamoyo

kwa michuzi hayo maneno hapo chini yapo na kila blog yapo hao wewe unadhani hii nchi ina IKULU ngapi?
unakurupuka tu na matusi kwenye hiyo link yako kasome mwenye tena kisha rudi hapa
na hayo madesa kilaza we

Rais jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt Mohammed Gharib Bilal, wakiongozana katika Uwanja vya Ikulu Ndogo Bagamoyo wakati walipofika kuhudhuria sherehe ya ndoa ya mdogo wake na rais Kikwete, Yusuf Kikwete, iliyofungwa leo mchana katika uwanja huo na kuhudhuriwa na mbalimbali pamoja na wake za viongozi.
 
Sijui kama hili jinamizi kuna haja ya kumjibu ila nataka nimuulize swali, Tanzania tunaongozwa na monarch sio? Basi kama mnataka hivyo basi mkiamua kuzika hata ndugu zenu kwenye hiyo plot ya ikulu mfanye hivyo basi kwani mme-occupy for now? Ukiwa raisi unatakiwa utumie kila uwezo wako kwa katiba iliyopo na hakuna room for respect for the office, do what best for you not the country. Kweli nyie ni vichaa sijui kwanini hakuna utaratibu wa donors maybe wawapime brain zenu mkiwa oversea.

kwani hamkuona harusi ya royal family kule uk majuzi? Watu wanafurahi, hakuna aliyeleta zengwe! Watz bwana, kwakuwa anaenda harusini mlitaka aache gari ya ikulu aende na bajaj? Aache mlinzi aende peke yake? Wasaidizi wake wasi mu accompany? Haiwezekani! Harusi kufanyika ikulu na viwanja vya ikulu ni vitu viwili tofauti, mbona pale ilala boma ni ikulu ndogo na kuna ukumbi wa matukio mbalimbali kama harusi? Na watu mbali mbali wanafanyia pale? Au kwakuwa amehudhuria jk ndio imekuwa nongwa?
 
=MJIMPYA;2236742]Wana JF tupunguze uwongo jamani. Harusi imefanyika bagamoyo!
Huyu kacopy picha za Michuzi hata source hajaweka na kaongeza fitna zake. Tuwe wakweli jamani.
LINK YENYEWE HII HAPA KACOPY
mjimpya

umechemsha mbaya kufananisha familia ya kikwete na ufalme wa UK
picha nimetoa huko ni kweli na habari ni sahihi
hahahahahahaa
 
01.jpg

wanasema ni mdogo wa kikwete mbona kaka ni mzee kuliko kikwete? au mkuu ana 02 room hapo magogoni?
huyu ni mke wa kwanza kweli?
hii habari naona kama ina mapungufu bana huyu jamaa ni mzee sana kusema huyo ni mke wa kwanza

Kwasisi kupangua nakuweka sasa kabisa, labda ndivyo alivyofanya, au la ilimradi ndoa ya Ikulu
 
This man ndiye mmoja wa watu wa karibu sana wa JK .Yes ni ndugu anaitwa Yusuph Mrisho Kikwete ni mkurugenzi wa kampuni inaitwa Cargo Movement Company Limited wako wana ndugu wote .Kampuni hii pia wamekuwa wakipeleka watu kwa Ngeleja ili kufua umeme Tanzania .Yaani huyu akisea Ngeleja kimya eti wao ndiyo wanampigia debe kwa JK .Yes JK anamsikiliza sana huyu jamaa sana sana .Ni mkubwa kwa JK nasikia .Ukishangaa anaoa leo nadhani hakuna haja maana ni kawaida hawa kuoa kila kukicha .JK je na mambo haya ? Ukitaka kumuona nenda best bite pale Morocco utawakuta hapo ndiyo kijiwe chao .

napenda kukurekebisha kwamba yusuph ni mdogo kwa kikwete, mimi kwa upande wangu nimefurahi sana kwamba huyu jamaa kaoa, ni mtu mzuri tu asiyependa makuu.
 
Huyu bwana huwa hapendi makuu na ni mtu wa watu. Anaongea na kila mtu na yupo social sana. Mnaotaka kumpa mkono wa pongezi pia anapatikana pale Samakisamaki ya Mlimani city.
 
Si nilishasema huyu kikwete ni mjinga wa kupindukia? Hii nyumba ni ofisi ya watanzania na kitendo cha kutumia hii ofisi kwa ajili ya harusi za ndugu na hata watoto zake au shughuli binafsi ni kuwaeleza watanzania kuwa hamtafanya lolote na nitafanya lolote nitakaloamua. Fedha na mali za watanzania ni kama assets za familia ya kikwete na ccm. Kuwa na wajinga kama hawa serikali kweli ni hasara kwa taiafa, hivi nyine ccm kikwete alipendekezwa na nyie 2005? Kweli ccm wote ni wenda wazimu kupindukia.Tunarudi palepale ni hii katiba ya wahuni inasababisha yote haya kama wajinga wana-support huu upumbazu basi sisi tutahakikisha hayatokei tena haya. Never and never in our watch. Unafikiri there any inquiry here, who has power to investigate this crap and punish these people? What next? kikwete atachukua hii nyumba kama raisi mstaafu sio, tunajua nationa housing they are working on this.
Mtoa mada wajua hii nyumba ni yake JK inaitwa ikulu sababu ndiko anakofikia akienda bagamoyo ila sio nyumba ya serikali!!!
 
Back
Top Bottom