JKT ulipiga kambi gani? Karibu tukumbushane

Evvy jr

Senior Member
Apr 23, 2017
148
188
Nimejikuta nakumbuka enzi hizo nikiwa 825 MTABILA, mujibu wa sheria OP KIKWETE (2015) hiyo. Nilikua kombania B (Bravo Coy) chini ya Luteni Lusui (naskia kwa sasa ni Captain), alikua mtu mmoja makini sana sana, popote alipo Mungu azidi kumuongezea manyota.

Kambi yetu ilikua haina mda mrefu toka imeanzishwa hivo tulikua na kazi kibao nakumbuka, ujenzi kama wote, kufyeka, kuzima moto. Kufata kuni kwa Nkurunzinza kule kama unaenda Burundi

Sema kambi yetu ilikua huwez kuskia njaa maana kulikua na matunda kama yote, ndizi na maparachichi
Kwakweli sijutii kupita JKT japo mwanzo niliwaza kutoroka lkn nilikosa njia ikabidi nikaze tu.

Baadhi ya maafande ambao sitawasahau pale mtabila ni

1: Luteni/Captain LUSUI
Huyu nina mengi sana mazuri ya kueleza kulingana na namna aliishi na sisi hasa upande wangu coz tulitokea kuelewana sana

2: Afande MPUCHE
Huyu ni mdengeleko wa kwanza kuingia Jeshini ni afande mmoja alikua na vituko sana, anakupigisha doso huku mnacheka

3: Afande FIDEL
Huyu jamaa alinisaidia siku moja nilikua naumwa sana, alafu maafande wengine hawanielewi kabisa, hiyo siku ningekufa aisee lkn huyu jamaa akaingilia kati akanipeleka kwenye anga kupumzika

4: Afande Mama Mende
Sijui jina lake ila kwa utani tulimwita mama mende. Huyu madam sitasahau maumivu aliyokua anatupa, alikua na roho ngum sana, furaha yake ni kuona mnaumia tu

5: Afande Mdungi
Huyu mzanzibari alikua rafiki wa Afande Fidel, alikua anapenda kulewa, kila siku yy ni kusumbuana na ma MP sababu ya kulewa

6: Afande Turuwai
Sina hakika kama nimetaja vzr jina lake lkn alikua mzee mmoja ana sauti ya ukari sana, huyu alikua askari kwekweli kuanzia muonekano, saut mpaka matendo!

7: Afande Shetani
Huyu jamaa alikua hacheki na mtu na wala hakuwa na urafiki na kuruti wala askari mwenzie

8: Afande Matapishi
Sijawai kutana na asari katili kana huyu maishani mwangu, lkn alinifundisha uvumilivu

Kuna wengine wengi siwez kuwataja wote mfano afande mbeshi, afande bosco (service man), luhinya (service man) comando luten mwansasu.

Wote hao na wengine wengi walikua na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu ya jeshini.

HUKO KAMBINI KWENU PALIKUAJE TUAMBIE
 
Oooh!

Makutupora JKT enzi zileee nilimla kuruta mwenzangu ambaye alikuwa pisi kali hatari ila kama ilivyotegemewa show ilikuwa mbovu hatari mpaka naona hata aibu kuiita show. Baada ya miaka kadhaa nilikutana naye supamaketi moja jijini Dar kanawiri kapendeza hatari japo hakunikumbuka yaani dah! Ila poa tu ndo maisha...

Caroline M (Siyo jina lake halisi) - mtoto wa pediatric neurosurgeon bingwa wa kimataifa po pote ulipo nakusalimia sana

Motto: Ukiamua kushindwa, utashindwa!

Kuhusu mafunzo ya kivita sikuona jipya hasa kinadharia. Hii ilitokana na ukweli kuwa nilikuwa tayari nimeshakisoma kijitabu cha Art of War na waliyokuwa wanatufundisha karibu yote yameshagusiwa mle kwa namna moja au nyingine.

JamiiForums-544634314.png
 
822KJ Rwamkoma Mara 2013
Sikumbuki jina la Afande yeyote wala operation niliyokuwepo wala mkuu wa kikosi!

Nakumbuka sisi ndiyo tulikua wa kwanza kuanzishwa tena kwa Jkt mujibu wa sheria na shule tuliyosoma ( Tabora boys) ilikuwemo kwa shule za kwanza kupeleka wanafunzi Jkt.

Ilikua tukae jeshini miezi 6lakini baadae wakapunguza hadi 3 ili kuruhusu wanafunzi wengi zaidi kujifunza uzalendo ( sijui kama ilikua Ndio sababu mahsusi) so tulikaa 4 months tukasepa wakaja wengine

Nachokumbuka ni siku tumeingia darasani Tukafundishwa 10 commandments of war, nilishangaa Sana. Yani kuna amri 10 za Mungu na Amri 10 za vita?

Amri zilizoclick nami
1. Mwone adui kabla hajakuona
2. Ushindi katika vita hutegemea zaidi molari ya Askari kuliko ukubwa wa jeshi.

Na mambo megine Kama Ujanja wa porini , kujipamba na kujificha ( camouflage and Concealment) nk
 
Oooh!

Nilimla kuruta mwenzangu ambaye alikuwa pisi kali hatari ila kama ilivyotegemewa show ilikuwa mbovu hatari mpaka naona hata aibu kuiita show. Baada ya miaka kadhaa nilikutana naye supamaketi moja jijini Dar hata hakunikumbuka. Ila poa tu ndo maisha...

Caroline Makutupora JKT po pote ulipo nakusalimia sana

Kuandika jina lake humu sio jambo jema
 
Oooh!

Makutupora JKT enzi zileee nilimla kuruta mwenzangu ambaye alikuwa pisi kali hatari ila kama ilivyotegemewa show ilikuwa mbovu hatari mpaka naona hata aibu kuiita show. Baada ya miaka kadhaa nilikutana naye supamaketi moja jijini Dar kanawiri kapendeza hatari japo hakunikumbuka yaani dah! Ila poa tu ndo maisha...

Caroline M (Siyo jina lake halisi) - mtoto wa pediatric neurosurgeon bingwa wa kimataifa po pote ulipo nakusalimia sana

Motto: Ukiamua kushindwa, utashindwa!

Kuhusu mafunzo ya kivita sikuona jipya hasa kinadharia. Hii ilitokana na ukweli kuwa nilikuwa tayari nimeshakisoma kijitabu cha Art of War na waliyokuwa wanatufundisha karibu yote yameshagusiwa mle kwa namna moja au nyingine.

View attachment 2213296
Makutupora😁 umenikumbusha mbali mkuu,umepita mwaka gani pale?
 
Nimejikuta nakumbuka enzi hizo nikiwa 825 MTABILA, mujibu wa sheria OP KIKWETE (2015) hiyo. Nilikua kombania B (Bravo Coy) chini ya Luteni Lusui (naskia kwa sasa ni Captain), alikua mtu mmoja makini sana sana, popote alipo Mungu azidi kumuongezea manyota.

Kambi yetu ilikua haina mda mrefu toka imeanzishwa hivo tulikua na kazi kibao nakumbuka, ujenzi kama wote, kufyeka, kuzima moto. Kufata kuni kwa Nkurunzinza kule kama unaenda Burundi ...

Sema kambi yetu ilikua huwez kuskia njaa maana kulikua na matunda kama yote, ndizi na maparachichi
Kwakweli sijutii kupita JKT japo mwanzo niliwaza kutoroka lkn nilikosa njia ikabidi nikaze tu...
Baadhi ya maafande ambao sitawasahau pale mtabila ni
1: Luteni/Captain LUSUI
Huyu nina mengi sana mazuri ya kueleza kulingana na namna aliishi na sisi hasa upande wangu coz tulitokea kuelewana sana

2: Afande MPUCHE
huyu ni mdengeleko wa kwanza kuingia Jeshini ni afande mmoja alikua na vituko sana, anakupigisha doso huku mnacheka

3: Afande FIDEL
Huyu jamaa alinisaidia siku moja nilikua naumwa sana, alafu maafande wengine hawanielewi kabisa, hiyo siku ningekufa aisee lkn huyu jamaa akaingilia kati akanipeleka kwenye anga kuoumzika

4: Afande Mama Mende
Sijui jina lake ila kwa utani tulimwita mama mende. Huyu madam sitasahau maumivu aliyokua anatupa, alikua na roho ngum sana, furaha yake ni kuona mnaumia tu

5: Afande Mdungi
Huyu mzanzibari alikua rafiki wa Afande Fidel, alikua anapenda kulewa, kila siku yy ni kusumbuana na ma MP sababu ya kulewa

6: Afande Turuwai
Sina hakika kama nimetaja vzr jina lake lkn alikua mzee mmoja ana sauti ya ukari sana, huyu alikua askari kwekweli kuanzia muonekano, saut mpaka matendo!

7: Afande Shetani
Huyu jamaa alikua hacheki na mtu na wala hakuwa naurafiki na kuruti wala askari mwenzie

8: Afande Matapishi
Sijawai kutana na asari katili kana huyu maishani mwangu, lkn alinifundishavuvumilivu

Kuna wengine wengi siwez kuwataja wote mfano afande mbeshi, afande bosco (service man), luhinya (service man).. comando luten mwansasu...
Wote hao na wengine wengi walikua na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu ya jeshini.
.
.
HUKO KAMBINI KWENU PALIKUAJE TUAMBIE
Mawazo ya kutoroka huja baada ya kuvuliwa uzalendo yaani siku ile tu ya intro halafu usiku wake mkakesha ng'ai ng'ai halafu hodari koplo anakuambia tutaishi hivi kwa wiki 10 mpaka muwe mazombi, basi unajikuta una strategize mipango mikubwa mikubwa tu ya kukimbia kambi 😂😂😂 ila with time unazoea na hutamani kuondoka .

N.b
Najua ma service huru huwa hamtaki kukumbushwa TOCHI ila ndo ilishatokea hiyo 😂😂 .
 
Nimejikuta nakumbuka enzi hizo nikiwa 825 MTABILA, mujibu wa sheria OP KIKWETE (2015) hiyo. Nilikua kombania B (Bravo Coy) chini ya Luteni Lusui (naskia kwa sasa ni Captain), alikua mtu mmoja makini sana sana, popote alipo Mungu azidi kumuongezea manyota.

Kambi yetu ilikua haina mda mrefu toka imeanzishwa hivo tulikua na kazi kibao nakumbuka, ujenzi kama wote, kufyeka, kuzima moto. Kufata kuni kwa Nkurunzinza kule kama unaenda Burundi

Sema kambi yetu ilikua huwez kuskia njaa maana kulikua na matunda kama yote, ndizi na maparachichi
Kwakweli sijutii kupita JKT japo mwanzo niliwaza kutoroka lkn nilikosa njia ikabidi nikaze tu.

Baadhi ya maafande ambao sitawasahau pale mtabila ni

1: Luteni/Captain LUSUI
Huyu nina mengi sana mazuri ya kueleza kulingana na namna aliishi na sisi hasa upande wangu coz tulitokea kuelewana sana

2: Afande MPUCHE
Huyu ni mdengeleko wa kwanza kuingia Jeshini ni afande mmoja alikua na vituko sana, anakupigisha doso huku mnacheka

3: Afande FIDEL
Huyu jamaa alinisaidia siku moja nilikua naumwa sana, alafu maafande wengine hawanielewi kabisa, hiyo siku ningekufa aisee lkn huyu jamaa akaingilia kati akanipeleka kwenye anga kupumzika

4: Afande Mama Mende
Sijui jina lake ila kwa utani tulimwita mama mende. Huyu madam sitasahau maumivu aliyokua anatupa, alikua na roho ngum sana, furaha yake ni kuona mnaumia tu

5: Afande Mdungi
Huyu mzanzibari alikua rafiki wa Afande Fidel, alikua anapenda kulewa, kila siku yy ni kusumbuana na ma MP sababu ya kulewa

6: Afande Turuwai
Sina hakika kama nimetaja vzr jina lake lkn alikua mzee mmoja ana sauti ya ukari sana, huyu alikua askari kwekweli kuanzia muonekano, saut mpaka matendo!

7: Afande Shetani
Huyu jamaa alikua hacheki na mtu na wala hakuwa na urafiki na kuruti wala askari mwenzie

8: Afande Matapishi
Sijawai kutana na asari katili kana huyu maishani mwangu, lkn alinifundisha uvumilivu

Kuna wengine wengi siwez kuwataja wote mfano afande mbeshi, afande bosco (service man), luhinya (service man) comando luten mwansasu.

Wote hao na wengine wengi walikua na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu ya jeshini.

HUKO KAMBINI KWENU PALIKUAJE TUAMBIE
834 KJ, MAKUTUPORA, C Coy, OP Mererani, 2018.
Nakumbuka tulikua na afande anaitwa Kankara aisee alikua kauzu kinoma, yuko friendly ila mkimuudhi mna isoma namba. Then kuna huyo Baba Bhoke, jamaa ni kama kichwani mnara umeyumba, yani akija kombania ni doso mwanzo mwisho. Sema kuna kuruti wa A Coy alijinyonga siku matokeo ya F6 yametoka, aiseee tulipitishwa mmojammoja kumwangalia akiwa ananing'inia pale kwenye mti.
 
Sijui kwann uwa sizipendi sn story za makambini sijui depo mara afande flan sijui alifanyaje
Hata nikikutana na rafiki yangu nilihenya nae akianza story hizo unamkumbuka flan namwambia achana na habari hizo
 
Nimejikuta nakumbuka enzi hizo nikiwa 825 MTABILA, mujibu wa sheria OP KIKWETE (2015) hiyo. Nilikua kombania B (Bravo Coy) chini ya Luteni Lusui (naskia kwa sasa ni Captain), alikua mtu mmoja makini sana sana, popote alipo Mungu azidi kumuongezea manyota.

Kambi yetu ilikua haina mda mrefu toka imeanzishwa hivo tulikua na kazi kibao nakumbuka, ujenzi kama wote, kufyeka, kuzima moto. Kufata kuni kwa Nkurunzinza kule kama unaenda Burundi

Sema kambi yetu ilikua huwez kuskia njaa maana kulikua na matunda kama yote, ndizi na maparachichi
Kwakweli sijutii kupita JKT japo mwanzo niliwaza kutoroka lkn nilikosa njia ikabidi nikaze tu.

Baadhi ya maafande ambao sitawasahau pale mtabila ni

1: Luteni/Captain LUSUI
Huyu nina mengi sana mazuri ya kueleza kulingana na namna aliishi na sisi hasa upande wangu coz tulitokea kuelewana sana

2: Afande MPUCHE
Huyu ni mdengeleko wa kwanza kuingia Jeshini ni afande mmoja alikua na vituko sana, anakupigisha doso huku mnacheka

3: Afande FIDEL
Huyu jamaa alinisaidia siku moja nilikua naumwa sana, alafu maafande wengine hawanielewi kabisa, hiyo siku ningekufa aisee lkn huyu jamaa akaingilia kati akanipeleka kwenye anga kupumzika

4: Afande Mama Mende
Sijui jina lake ila kwa utani tulimwita mama mende. Huyu madam sitasahau maumivu aliyokua anatupa, alikua na roho ngum sana, furaha yake ni kuona mnaumia tu

5: Afande Mdungi
Huyu mzanzibari alikua rafiki wa Afande Fidel, alikua anapenda kulewa, kila siku yy ni kusumbuana na ma MP sababu ya kulewa

6: Afande Turuwai
Sina hakika kama nimetaja vzr jina lake lkn alikua mzee mmoja ana sauti ya ukari sana, huyu alikua askari kwekweli kuanzia muonekano, saut mpaka matendo!

7: Afande Shetani
Huyu jamaa alikua hacheki na mtu na wala hakuwa na urafiki na kuruti wala askari mwenzie

8: Afande Matapishi
Sijawai kutana na asari katili kana huyu maishani mwangu, lkn alinifundisha uvumilivu

Kuna wengine wengi siwez kuwataja wote mfano afande mbeshi, afande bosco (service man), luhinya (service man) comando luten mwansasu.

Wote hao na wengine wengi walikua na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu ya jeshini.

HUKO KAMBINI KWENU PALIKUAJE TUAMBIE

Nasikia ulikuwa nanga sana baba
 
821 KJ bulombora, Op mererani 2018,CO Luteni kanali Rashidi Kanole
Kombani A coy, platoon no 1 , section no 1
Sir major wa kombania Nzagara
 
822KJ Rwamkoma Mara 2013
Sikumbuki jina la Afande yeyote wala operation niliyokuwepo wala mkuu wa kikosi!

Nakumbuka sisi ndiyo tulikua wa kwanza kuanzishwa tena kwa Jkt mujibu wa sheria na shule tuliyosoma ( Tabora boys) ilikuwemo kwa shule za kwanza kupeleka wanafunzi Jkt.

Ilikua tukae jeshini miezi 6lakini baadae wakapunguza hadi 3 ili kuruhusu wanafunzi wengi zaidi kujifunza uzalendo ( sijui kama ilikua Ndio sababu mahsusi) so tulikaa 4 months tukasepa wakaja wengine

Nachokumbuka ni siku tumeingia darasani Tukafundishwa 10 commandments of war, nilishangaa Sana. Yani kuna amri 10 za Mungu na Amri 10 za vita?

Amri zilizoclick nami
1. Mwone adui kabla hajakuona
2. Ushindi katika vita hutegemea zaidi molari ya Askari kuliko ukubwa wa jeshi.

Na mambo megine Kama Ujanja wa porini , kujipamba na kujificha ( camouflage and Concealment) nk

Hujamkuta afande kariata?au mr rsm mzee kazoba? Sisi ndo tumeenda kumalizia lile bwalo na yale mabweni tulilala huko yakiwa hayajamaliziwa hata
Na ukitoka nje uraiani kule (madukani )kuna pusha jamaa angu anaitwa (mwetu)je!ulifanikiwa kwenda kwake? Daa! Vijana qa siku hizi bure kabisa
 
Nimegundua wengi humu ni mujibu,
Ila mimi ni Op !!!!ambayo kikosi chake kina mawe balaa alafu CO wake kwa sasa ni marehemu na Mr RSM wake na kwa sasa ni marehemu,ila kwa sasa hicho kikosi kitatrein kuruta wa tpdf
Op yangu ilipewa jina (AKA boko haramu)
 
Back
Top Bottom