Jkt postponement

witacha matiku

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
678
126
JAMAN aka wana jf kuna habar kwnye website ya jkt kuwa wanafunz wote wanatakiwa kwnda shule....habar inaendlea na inatakiwa udownload xo simu yang haina uwezo bhax anayeweza ku2fanyia msaada afanye il 2pate habar kamil ,,MAWAZO ZAIDI YANAHITAJIKA
 
kimba bado la leo leo we unataka kulifanya lionekane la JUZI?
 
VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU28 SEP 13.

VIJANA WALIOCHAGULIWAKUJIUNGA NA JKT AWAMU YA TATU NA PIA WAMECHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA ELIMU,AMBAO WANATAKA KUAHIRISHA MKATABA WA JKT, WANATAKIWA KUANDIKA BARUA MAKAO MAKUUYA JKT KUOMBA KUAHIRISHA MKATABA WA JKT.

1. BARUA BINAFSI YAKUOMBA KUAHIRISHA MKATABA IWE NA PICHA YAKE.

2. NAKALA YABARUA YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO (JOINING INSTRUCTIONS)

3.BARUAHIYO IELEZE KUWA UTAJIUNGA NA JKT BAADA YA KUHITIMU MASOMO.

4. BARUA ZAOZIFIKE MAKAO MAKUU YA JKT KABLA YA TAREHE 02 OKTOBA 2013.

ANGALIZO

KUJIUNGA NA JKT KWAMUJIBU WA SHERIA NI LAZIMA. HIVYO NI WAJIBU WA KILA MUHITIMU KUHUDHURIA MAFUNZOHAYO.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA

JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU

http://jkt.go.tz/mkataba-jkt.html
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom