maisha haya yanachange hatarinasikia siku hizi hadi posho zime baki story... wakipata haizidi 20,000/- jktt huko ni raha
maisha haya yanachange hatarinasikia siku hizi hadi posho zime baki story... wakipata haizidi 20,000/- jktt huko ni raha
Haaaaa kijana kuwa mpolee jiandae wiki ijayohuu mwaka ushapita empty maana hakuna dalili hata kidogo..mliopo makambini mtujuze kinachoendelea huko
Achana nao mwana,komaa kivingine huko utasota mno
ngoja tuoneHaaaaa kijana kuwa mpolee jiandae wiki ijayo
nasikia wameongezewa mkataba watu leoHaaaaa kijana kuwa mpolee jiandae wiki ijayo
Kijana.nasikia wameongezewa mkataba watu leo
ndio mkuu nataka nikalijenge taifaKijana.
Naona una shauku kubwa sana ya kwenda kujifunza SHUGHULI ZA UZALISHAJI.
Hao ni kama mujibu tuu sio kujitolea,kujitolea ni palepaleKuna ronja isiyo rasmi kwamba watapelekwa walimu waliohitimu vyuo vya kati (teacher's college) ndio maana kwa wadau wa mtaani kumepoa.
Mambo tayari chinichini bobu, kinachosubiliwa ni geresha tu LA kutangaza ila wanaoenda koz washapatikana, pole sanawakuu kwema
huu ni uzi spesheli kwa wale wenzang na mimi tuliokumbatia magamba yetu ya division mbalimbal bnafsi gamba langu linasoma division 4 ya 26 hap tupeane ronja mbalimbal na apdates kuhus jkt kwa mwak huu japo inajulikana wazi kuwa kwa sasa nafasi hizi kuzipata ni bahati ya ngekewa
naomba kuwasilisha
Mambo tayari chinichini bobu, kinachosubiliwa ni geresha tu LA kutangaza nafasi ila wanaoenda koz washapatikana, pole sana
Nadhani Wanaoenda kujitolea JKT hawawezi kupatikana kimyakimya rabda vijana wa RTS ndo washapatikana kwa staili hiyo.Mambo tayari chinichini bobu, kinachosubiliwa ni geresha tu LA kutangaza ila wanaoenda koz washapatikana, pole sana
MtapigwaNafasi zimetangazwa mikoani huku mbeya tayar watu wameanza michakato
Kwaiyo ushajipatia yako kimya kimya mkuu? HahaaaNafasi zimetangazwa mikoani huku mbeya tayar watu wameanza michakato
Hats RTS ni kwa uwazi kabisa msifanishe jeshi na Nec aisee sema kuingia jkt nd kampa kampa tenaNadhani Wanaoenda kujitolea JKT hawawezi kupatikana kimyakimya rabda vijana wa RTS ndo washapatikana kwa staili hiyo.