Mabagala JF-Expert Member Nov 27, 2009 1,477 325 Jan 10, 2012 #2 hizi ni njaa au ni mchezo kama football?
Bigirita Platinum Member Feb 12, 2007 15,986 7,370 Jan 10, 2012 #3 umeishiwa kweli siku hizi....yani unataka kuwa kama Lyatonga Kiraracha marangu mtoni Mrema.
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Jan 10, 2012 #4 Hujasomekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Jan 10, 2009 5,471 734 Jan 11, 2012 Thread starter #5 Yaani tuna njaa mpaka Cheka na Matumla wanaamua kuomba pambano wapate chochote kuipoza njaa
cheusimangala JF-Expert Member Feb 27, 2010 2,585 497 Jan 11, 2012 #6 hivi huyu matumla nikikusanya nguvu zangu zote nikamla ngumi si chini tu mara moja mbona kakonda hivi jamani.
hivi huyu matumla nikikusanya nguvu zangu zote nikamla ngumi si chini tu mara moja mbona kakonda hivi jamani.