JK: Tanzania plans to move capital to Dodoma in five years

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
Here we go again :lying:

LOL! and of course he knows he will be gone by then

Tanzania plans to move capital to Dodoma in five years
15:48, July 14, 2010

Tanzanian President Jakaya Kikwete has promised that the government will shift to Dodoma within the next five years upon his re-election.

Addressing a rally on Monday in Dodoma, the designated capital of the east African country, Kikwete outlined several projects expected to be executed upon his re-election, which include construction of a new State House and an international airport by 2015, the local media reported on Tuesday.

The Tanzanian president said that the ruling Revolutionary Party of Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) looks forward to ensuring that construction of the University of Dodoma is completed in the next five years.

He said that upon completion, the university will have capacity to take in a total of 40,000 students. At the moment the university has 15,000 students.

He also said that by 2015 all regions will be connected by tarmac roads.

In 1973, plans were made to move the Tanzania capital to Dodoma from Dar es Salaam. Tanzania's National Assembly moved there in February 1996, but many government offices remain in Dar es Salaam.

As the only CCM presidential candidate for Tanzania, Kikwete is expected to win his second presidential term.

On Late Sunday, the CCM National Congress chose former Zanzibar Chief minister Mohamed Gharib Bilal as the running mate for Tanzanian President Jakaya Kikwete in the general elections on Oct. 31.



Tanzania plans to move capital to Dodoma in five years - People's Daily Online
 
Kuhamia Dodoma in five years! Hivi hawa....Hatudanganyiki!!!!!!!
 
Huu mpango uende na kutengeneza barabara zote toka mikoani zinazoingia Dodoma ziwe za njia mbili
 
Itakuwa jambo jema sana akianza JK na Ikulu yake kuhamia Dodoma. Wengine watafuata kwa ari zaidi na kasi zaidi. Tena Ikulu ikihamia Dodoma kupunguza gharama, napendekeza lile jengo la Ikulu pale Magogoni liwe ni 'museum' na kama Rais atataka kuja Dar kwa shughuli yoyote ya kikazi afikie nyumbani kwake ama itafutwe nyumba hapa jijini iwe 'state lodge' ya Rais kufikia kama ambavyo anafanya akienda mikoani.
 
Kwanini haikua miaka 5 iliyopita?...
Mkuu... Kama unauthubutu hamia wewe kwanza..wengine watafuata tuu..
Uongozi mifano..tunakusubiri uonyeshe njia ndani ya hii miaka 5 iliyobaki
 
nakumbuka Mkapa alitoa kauli kama hii

yeye alienda mbali kwa kusema miezi kama sio wiki tatu za mwanzo z utawala wake atafanyia kazi dodoma , mpaka anaondoka madarakani hakuna kilichofanyika

Hizi kauli sisi watawaliwa tumeshazizoea, na huyu jamaa ataondoka madarakani bila serekali kuhamia huko Dodoma, muda ndo utahukumu hiyo kauli yake
 
..anafikiri baada ya miaka 5 watu watakuwa wamesahau kwasababu atakuwa ameshastaafu.
 
Njia pekee ya kuhamia Dodoma ni kwa kuendeleza mji huo kufikia walafu hadhi ya kua mji mkuu. Kikwazo kikubw a cha kuto kuhamia Dodoma ni viongozi wakuu wa serikali kuto kutaka kuhamisha wao na familia yao kwenye mji kama Dodoma. Bunge liliweza kuhamishia huko kwa sababu wabunge walijua haita walazimu wao kuishi huko
 
Na ule upepo mwanana wa bahari ya Hindi wamwachie nani? haya ni maneno ya wakati wa uchaguzi, ukiisha kila kitu kwa heri. wangetamka wataalamu maneno haya ningeamini maana nijuavyo kuna vitu vingi DOM haviko inplace kufanya serikali ihamie DOM within five years labda tuhamishie rasilimali zote huko.
 
:doh:Awawezi kuhamia Dodoma kwani Dodoma akuna
1.Bilcanus
2.Jol Club
3.Deal za udanganyifu
4.Nani ata waona
5.Watoto wazuri
6.Magazeti
7.Cinema
8.Makanisa/Misikiti ya kufanya kampeni
9.N.k
 
Hili halitowezekana
Na mheshimiwa JK analijua fika kuwa aliwezekani ila kuwafurahisha wana Dodoma they keep on saying watahamia Dodoma. Kwa hali ilivyo sioni kama kuna ulazima wa serikali kwenda Dodoma, kama office zote zipo Dar isipokuwa tu Bunge na Ofisi ya waziri mkuu (mtoto wa mkulima) japo na yeye pia mda mwingi anakuwa Dar.
Swali nalojiuliza ni kuwa wakihamia Dodoma, Mtwara, ata Kigoma kutakuwa na tofauti gani ya kiutendaji serikalini? Tutegemee nini kutoka Dodoma tofauti na hali ya hivi sasa? Binafsi sioni kama kuna jipya whether they operate from Dodoma or Dar. Kwa dunia ya hivi sasa ambapo kila kitu kinaenda kwa mtandao, sidhani kama ni busara kuendeleza mawazo ya zamani kuwa lazima serikali iwe Dodoma pale ili iwe rahisi kufikika na wananchi. Kwa mtazamo wangu aya ni mawazo ya kizamani na hayafanyi kazi katika dunia ya leo, hivi sasa tunalazimika kuweka kila taarifa katika mtandao na mwananchi sehemu yoyote ile alipo anaweza kuwa na access ni hiyo taarifa kwa mda wowote. Cha muhimu hapa ni jinsi gani wananchi wanawezeshwa kuishi katika dunia ya leo, badala ya hizi pesa kuwahamishia waheshimiwa Dodoma na kuwaweka hoteli kwa miezi ya mwanzo, nafikiri tungetumia ilo fungu kuhakikisha huduma za mtandao zinawezekana kwa kila mwananchi. Mifano ipo hai na mfano wa karibu ni hapo Rwanda, wameliona hili na hawataki kuwa watazamaji wanachukua hatua sasa. Sie tutabaki na mawazo ya zamani tuhamie Dodoma na huku hatuami.
 
..binafsi ukiniambia nikaishi Dodoma leo hii sikubali. kwa msingi huo sioni sababu ya kuwalazimisha viongozi kuhamia huko.

..huu mji uachwe ukue wenyewe kwa kutegemea nguvu na ushawishi wake ktk uchumi na biashara.

..kama wana nia ya kuuinua kwa kutumia rasilimali za taifa basi wapeleke taasisi cha elimu ya juu, teknolojia, na utafiti. baada ya hapo mji na wenyeji wake wanaweza kustawi kwa kutegemea taasisi hizo.
 
Kiranga,

..nimefikiria kidogo nikaona kwamba hata kwa top down approach wanaweza kuhamia Dodoma. labda viongozi wetu hawana nia or they just have no idea of what they want.

..sina uhakika, lakini nadhani Washington-DC ilijengwa kwa mtindo wa top down. pia washington-DC siyo jiji la kibiashara, kiviwanda,... kama New York,Chicago, etc etc.

..nadhani huu mji una basic infrastructures za kuweza ku-host serikali kuu.

..viongozi wakihamia huko wengine kama, mabalozi, wafanyabiashara, wamachinga, machangudoa, etc etc watafuatia.
 
In five years JK? when your time is over!!. Why should Tanzania spend all that money for?. JK please focus on development
 
Ofisi ya rais sasa inafanywa makao ya kauli hewa, laptop kila mwalimu nchini, komputa kila sekondari listi ni ndefu...nafikiri kampeni zimeanza lakini angalau watuheshimu walengwa wa kauli hizi.
 
Back
Top Bottom