JK: Tanzania plans to move capital to Dodoma in five years

Kiongozi gani mkubwa wa nchi hii asiependa kuchezea ufukwe???? Hakuna cha Dom wala nini ....sound ndo zimebaki....hawahami jijini hawa....koz anasema in five yrs time hy inaweza kuwa kweli lakini atakaekuja nae atataka kupaonja magogoni so atarudisha majeshi Dsm...Kifupi makao makuu ya Serikali ni DSM.....DSM 4 Life
 
Back
Top Bottom