JK: Sijawahi kusema serikali yangu itajenga Barabara kupitia Mbuga ya Serengeti

Huyu Mjamaa huwa ni mwongo sana mara nyingi anakataa kauli zake mwenyewe ,yeye na rafiki wake wa zamani Lowasa walisema barabara na hoteli zitajengwa tuu na hakuna wakukataa leo anakanusha jamaa kwa uongo kajaliwa ,katudanganya maisha mazuri kwa kila mtanzania yanawezekana mpaka sas tumevimba mashavu na matumbo kwa utapiamlo
 
Back
Top Bottom