Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,536
- 8,624
KODI ZETU KUTUMIKA KUILIPA CCM KWA AJILI YA SHULE ZA WAZAZI[TULIZOZICHANGIA UJENZI] ZINAZORUDISHWA SERIKALINI BAADA YA JUMUIA KUZISHINDWA!!!
Katika inayoonekana kama mbinu ya kupata pesa za kampeni mwaka 2010 ..rais ametoa tamko kuwa serikali itawalipa umoja wa wazazi fidia za kutaifisha mashule yao yaliyotapakaa nchi nzima ,watalipwa kwa bei ya soko....hizo ni zile shule ambazo mimi na wewe tulichangia kujenga kwa nguvu zetu au michango enzi zile za ujamaa,na ccm hawakutoa hata senti kuzijenga kama ilivyo kwa mali zake zote...sasa kodi yetu in billions itazinunua hizi shule toka CCM......huu ni wizi wa mchana ..tuunganeni kuupinga...
angalia sehemu ya hotuba ya rais.....!
Ndugu wajumbe;
Imezungumzwa hapa kwamba tusifanye makosa kama ya siku za nyuma ya kukabidhi mali za Chama Serikalini. Ndugu zangu hakuna aliyetoa uamuzi wa kukabidhi bure mali za Chama na Jumuiya kwa Serikali. Mali hizo zitakabidhiwa kwa kulipiwa thamani halisi ya majengo na vifaa. Hivyo Jumuiya haitakula hasara. Italipwa malipo stahiki na itazitumia fedha hizo kwa kufanyia shughuli nyingine ikiwa ni pamoja na kuwa na miradi ya kiuchumi.
Jakaya kikwete
HII si halali hata kidogo ..kwani miradi mingi ya chama tumeijengwa kwa kukwatwa mishahara,nahisi huu ni mpango wa jk kusaka pesa za kampeni!!
Vijana wengi wa leo hawajuwi kuwa majengo yote ya ccm nchini tumeyajenga kwa kukwatwa mishahara ,viwanja vyote vya michezo kama ccm kirumba ,sheikh amri abeid,majimaji etc ukumbi wa chimwaga etc
Ni muhimu mali zote za chama zirudishwe kwenye halmashauri!!
Na kikwete asitumie kodi yetu kulipia shule za wazazi..zilizojengwa kwa nguvu za wananchi!!!