JK ndani ya Kombati

Kama ameyapenda MAGWANDA basi watu wake wamchagulie rangi yao ya kijani/njano, hili alilovaa leo anatauma ujumbe gani?
426847_10150579224861225_33236101224_9389553_405417852_n.jpg

Hongera Mh Raisi unaonyesha kweli ni mchapa kazi bado hujasahau ulikotoka,hivyo ndivyo ilivyo kwa wachapakazi,

kwa kuwa kafanya Mh JK hamsemi,Angefanya Rais wa China Mngesifia kweli,

mnavyopenda kusifiwa mjue na kusifia wakuu
 
Mbona iko kama acting?
Kuna mtu ana picha za Mwl. Nyerere alipokuwa anashiriki shughuli kama hizi? sikuwahi kuona anafanya sinema, alikuwa akimaanisha kweli kweli.
 
ms3.jpg


Rais Jakaya Kikwete akibeba tofali wakati alipotembelea kambi hiyo jana, katika hatua mbalimbali za kusaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za Mkoa wa Pwani za Kibaha mjini, Kibaha vijijini, Mafia, Kisarawe, Mkuranga na Rufiji.

ms4.jpg


Rais Jakaya Kikwete akifyatua tofali kwa mashine…

Katofali kadogo ila jamaa kajikakamua utadhani anabeba kilo mia!!!! walimchanganyia la chuma nini?
 

Vitu vingine vinachekesha kweli!!
Kikwete kashika koleo kaligeuza then kapiga magoti...!!! sijui alikuwa anafanya nini? anaonekana kabisa anaigiza utafanyaje kazi hu ya spade huku umepiga magoti!? Haka kajamaa kasanii, Nye!

Sasa angalia JK orijino alivyoshika zana za kazi kikazi kazi!! hiyo moja shoka liko juu!! kama Umsolopogaas na Inkosikaz yake!
 
[COLOR=#0000FF said:
RomboMaku[/COLOR];3345139]JMK ni Lt. Col wa JWTZ anaijuwa kombati nje ndani. Slaa? Mbowe? Lussu? Zitto? hao hata JKT sijui kama wamenusa.
hilo jina hebu anza kulitamka kuanzia mbele kurudi nyuma
 
ms3.jpg


rais jakaya kikwete akibeba tofali wakati alipotembelea kambi hiyo jana, katika hatua mbalimbali za kusaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za mkoa wa pwani za kibaha mjini, kibaha vijijini, mafia, kisarawe, mkuranga na rufiji.

ms4.jpg


rais jakaya kikwete akifyatua tofali kwa mashine…

kama gwanda la cdm
 
Back
Top Bottom