JK ndani ya Kombati

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
ms3.jpg


Rais Jakaya Kikwete akibeba tofali wakati alipotembelea kambi hiyo jana, katika hatua mbalimbali za kusaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za Mkoa wa Pwani za Kibaha mjini, Kibaha vijijini, Mafia, Kisarawe, Mkuranga na Rufiji.

ms4.jpg


Rais Jakaya Kikwete akifyatua tofali kwa mashine…
 
Kuna watu sasa watafungwa speed ya kulidhalilisha kombati sasa na Dr.Dr.Dr. JK nae kapiga
 
unafiki mbaya sana cheki huyo jamaa nyuma mwenye kofia ya baleti anavopiga makofi kinafiki.
 
Kama ameyapenda MAGWANDA basi watu wake wamchagulie rangi yao ya kijani/njano, hili alilovaa leo anatauma ujumbe gani?
426847_10150579224861225_33236101224_9389553_405417852_n.jpg
 
Hivi FF yuko wapi huyu MPENZI wangu jamani.

Au hela za HAZINA zimeisha na wao hadi leo hawajapata MSHAHARA kutoka kwa NAPE :(
 
nadhani viatu na suruali siyo vya kazi hiyo, angemaliza gwanda mpaka chini angependeza zaidi.
 
Back
Top Bottom