Jk ndani ya Arusha Wilaya ya Longido! Agawa ng'ombe wapatao 25,000/=, Imekaaje?

Kwani kama yeye mpya, Laigwenani wa zamani ndo nani?

mbona unatanga tanga,umeuliza kwani kikwete anagombea urais?nimekuuliza kwanini unauliza hivyo na wewe unauliza habari ya Laigwanan wa zamani,tukuelewe vipi,unataka kujua kama kikwete anagombea urais au unataka kumjua Leigwenani wa zamani?maana naona kama hayo mambo hayana uhusiano ila unayachanganya kwa sababu zako unazozijua mwenyewe lakini hutaki kuzisema na sisi tuzijue unatanga tanga tu..
 
Wamasai ni watu wa kubuniwa na vitu vidogo. Damaini hawana msimamo na hujali matumbo sana
 
hakuna laigwenani muoga wa kuchukua maamuzi magumu! huyu ni arificial tu sio laigwenan halisi! na nyie wamasai siku hizi mmeanza kujikomba? mbona mlijulikana hapa awali kama watu makini majasiri hata kuua simba kwa mkuki tu? kwa mfano wa marehemu Sokoine?? kweli cheo cha Laigwenan sasa aweza kupewa mtu yoyote hata layoni pia!!!
 
Siyo kupotosha mila kama mtu kutoka nje ya kabila (alien) anakuwa Laigwenan? Hapa Wamaasai wa Longido hawajadumisha mila.
 
Wamasai ni watu wa kubuniwa na vitu vidogo. Damaini hawana msimamo na hujali matumbo sana

Mkuu mbona unawashambulia wamasai? JK amewahi kuvikwa taji kuwa mkuu wa Wangoni, Wasukuma, Wakurya, Wahehe, Wakonongo, nk. mbona hukusema hao wanajali matumbo yao?

Haya mambo ya kupewa ukuu wa kabila huwa ni symbolic tu na yanafanywa na karibu makabila yote hapa TZ kwa kiongozi mkuu wa nchi.
 
Labda wewe mwenyewe na sio wamaasai na tena uuache upuzi wako nahisi unafikiri kwa mababuri wewe. Kwanza heading inapotosha maana JK ka[ewa tu zawadi kama koingozi wa kitaifa na sio kwamba amechaguliwa kuwa laigwanani, ulijua ulaigwanani unatolewa tu hovyohovyo kama nafasi za kisasa?
Wamasai ni watu wa kubuniwa na vitu vidogo. Damaini hawana msimamo na hujali matumbo sana
 
Ndugu wana JF,kwanza niwasalimie pia nikiwatakia siku njema katika majukumu yenu,popote pale mlipo.baada ya hapo naomba niende kwenye hoja moja kwa moja.

Habari kuu iliyotawala katika vyombo vingi vya habari nchini jana,ilipambwa na tukio la serikali ya tanzania kuanza rasmi kuwapatia fidia ya mifugo aina ya ng'ombe,wananchi wa jimbo la monduli .Walioathirika kutokana na ukame uliolikumba jimbo hilo na maeneo kadhaa nchini. jimbo la bariadi mkoani shinyanga, lilikiwa mojawapo ya maeneo yalioathirika kwa kiwango kikubwa kama wenzao wa monduli..Takribani miaka miwili ilyopita,tukio hili lilizinduliwa rasmi huko monduli na mheshimiwa Rais jakaya mrisho kikwete, na kuhudhuriwa na mheshimiwa Edward ngoyai lowassa ambaye ndiye mbunge wa jimbo hilo.

Tumeambiwa kwamba huo ni utekelezaji wa ahadi ya rais aliyoitoa kwa wananchi wa jimbo hilo wakati akisaka kura katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliopita.

Ni jambo jema kwa rais kutimiza ahadi anazozitoa kwa wananchi wake,hasa wanapokumbwa na majanga makubwa kama haya. na hilo sina tatizo nalo hata kidogo.tatizo langu ni pale ninapofanya mlinganisho wa ahadi za rais katika majanga mbalimbali kitaifa na uzito wake,halafu na staili ya utekelezaji wa serikali kwa ahadi hizo.

Sina shaka rais alipita kila jimbo na kutoa ahadi kadhaa, kulingana na hali halisi ya wakati huo kwa eneo husika.Na monduli kwa wakati huo bila shaka haina ubishi walikuwa katika msiba mkubwa wa kupoteza mifugo kwa kiasi kikubwa kutokana na ukame mkubwa uliolikumba eneo lile.lakini nichukuwe tu nafasi hii kumkumbusha rais wetu kuwa hata kule bariadi kulikuwa na tatizo kama hilo tena nao walipoteza mifugo kwa kiwango kikubwa kama wenzao wa monduli.na pia niulize je? wananchi wa bariadi nao ni mojawapo ya majimbo yatakayonufaika na mpango huu au hapana? (nauliza kwa sababu hatujaona popote katika taarifa ile kama bariadi imetajwa pia).

*Je kama jibu ni hapana,wananchi wa bariadi wao watajisikiaje pindi wanapopokea habari hii?
*je hii haiwezi kumuathiri moja kwa moja mbunge wa jimbo la bariadi magharibi kwa kumfanya wapiga kura wamuone hazioni kero zao kama yule wa monduli, au ni kwa sababu jimbo lile ni la wapinzani basi inakuwa potelea mbali?.
*Je Rais anazikumbuka ahadi zingine alizozitoa kwa wapiga kura wake sehemu mbalimbali wakati wa kampeni ikiwemo kama Reli ya kati,meli mpya ziwa victoria,uwanja wa kimataifa wa ndege Mwanza,Mbeya na Singida?
*Wale wazee wa iliyokuwa jumuiya ya afrika mashariki unawakumbuka na hatma yao ni nini?
*Lakini ahadi kubwa kabisa ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA..je hii itaanza lini kutekelezwa?

Najua kabisa kwa tukio hili la monduli,linatufanya wananchi tuzikumbuke ahadi za rais kwa kila sehemu alikoahidi wakati wa kampeni,ikiwa ni utekelezaji wa sera za ccm.

Ninaelewa kabisa kwamba jimbo la monduli ni jimbo linalowakilisha kundi kubwa la wafugaji nchini,na hawa ni idadi kubwa sana ya wapiga kura nchini,pia ni muhimu kwa chama chochote cha siasa kujenga mahusiano mema nao na tena ya karibu.
Lakini naiomba serikali yetu pamoja na nia yake nzuri,lakini pia isiishie hapo monduli peke yake.bali iangalie na waathirika wengine wa majanga kama hayo ya kiasili sehemu mbalimbali nchini,ikiwa pia na yale ya moja kwa moja ya kisiasa yanayotokana na utendaji au usimamiaji mbovu wa wateule wa rais.

Naomba mwenye maoni yake tofauti humu ndani JF asisite kuyatoa au kunikosoa pale anapoona imembidi kufanya hivyo kwa manufaa ya taifa letu.

Naomba kuwakilisha....
 
Mkuu mbona unawashambulia wamasai? JK amewahi kuvikwa taji kuwa mkuu wa Wangoni, Wasukuma, Wakurya, Wahehe, Wakonongo, nk. mbona hukusema hao wanajali matumbo yao?

Haya mambo ya kupewa ukuu wa kabila huwa ni symbolic tu na yanafanywa na karibu makabila yote hapa TZ kwa kiongozi mkuu wa nchi.

"Laigwanan"mungine huyu,yeye ni wa rukwa huko,sasa wasiumize vichwa sana kwa vitu vyepesi...
[h=3]Dkt. Bilal Naye Apewa Uchifu Nkasi[/h]
Makamu Wa Rais wa Jamhuti ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa na mavazi ya asili ya kabila la Kikonongo baada ya kuvishwa na kutunukiwa uchifu wa Kabila la Kikonongo na machifu wa Kijiji cha Inyonga Wilaya ya Mpanda wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Rukwa na Katavi jana
 
Hivi huyu jamaa kwanini anapenda sifa za kijinga na kupoteza time? Huu mda wa kurandaranda huko na huku ,angeutumia kufanya mambo yatakayotukwamua kwenye tabu hizi! Znamsaidia nini hizi ngao,marungu,mashuka sime?! Aghrrrrrrr
 
Labda wewe mwenyewe na sio wamaasai na tena uuache upuzi wako nahisi unafikiri kwa mababuri wewe. Kwanza heading inapotosha maana JK ka[ewa tu zawadi kama koingozi wa kitaifa na sio kwamba amechaguliwa kuwa laigwanani, ulijua ulaigwanani unatolewa tu hovyohovyo kama nafasi za kisasa?

wamasai kwisha habari yao, hawajiamini tena kama zamani, wanampa baba mwanaasha mkuki na ngao vya nini? akapambe? sijawahi sikia kwamba zawadi bora unayoweza pewa na mmasai ni mkuki na ngao! mimi nafikiri sasa huu ni zaidi ya ujinga, ene wei kwa kuwa wamasai wameamua kwa hiyari yao wenyewe kula samaki na kuacha nyama ya ng'ombe, tuwatakie kila la heri kwenye njia yao ya upotoe.
 
Hivi huyu jamaa kwanini anapenda sifa za kijinga na kupoteza time? Huu mda wa kurandaranda huko na huku ,angeutumia kufanya mambo yatakayotukwamua kwenye tabu hizi! Znamsaidia nini hizi ngao,marungu,mashuka sime?! Aghrrrrrrr

kwa hiyo unataka yeye awe anajipangia zamu ya kuingia kila ofisi ya serikali kuu na halmashauri zote nchini kupiga mzigo ndio umuone anafanya jitihada za kukukwamua wewe kwenye huo mkwamo wako sio?hiyo labda tumsubiri rais slaa ndio atakaeweza kuingia ofisi zote anzia tra ,hazina mpaka bandari atakuwa na desk lake..
 
nauliza vigezo gani vimetumika kuwafidia hawa wandugu, je na wengine nao waliopata hasara kutokana na majanga ya asili nao walete madai kwa govt?
 
wewe ndio mjinga
wamasai kwisha habari yao, hawajiamini tena kama zamani, wanampa baba mwanaasha mkuki na ngao vya nini? akapambe? sijawahi sikia kumba zawadi bora unayoweza pewa na mmasai ni mkuki na ngao! mimi nafikiri sasa huu ni zaidi ya ujinga, ene wei kwa kuwa wamasai wameamua kwa hiyari yao wenyewe kula samaki na kuacha nyama ya ng'ombe, tunawatakia kola la heri kwenye njia yao ya upotoe.
 
Ikibidi afanye hivyo ndo kazi tuliyomwajiri si kumangamanga tu!aingie ndio, sio kula kodi zetu hovyohovyo! Na mkwamo unaousema si wangu ni wa taifa zima pamoja na wewe ,hapo uandikapo una tabu nyng tu!kwavile u hatukuon ndo unapojifi chia na kujitia kumsifia huyu ******
,shame to both of you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ikibidi afanye hivyo ndo kazi tuliyomwajiri si kumangamanga tu!aingie ndio, sio kula kodi zetu hovyohovyo! Na mkwamo unaousema si wangu ni wa taifa zima pamoja na wewe ,hapo uandikapo una tabu nyng tu!kwavile hatukuon ndo unapojifichia na kujitia kumsifia huyu ******
,shame on both of you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom