JK na wabunge wa CCM Dodoma kimenuka

Mchambuzi. Nakubaliana na msimamo wako. Kama kweli hicho kikao kilikuepo,JK awaache hao akina Shelukindo wapige kura,tuone mjaja nani. Hatuwezi endekeza ujinga na upumbavu eti kwa kuogopa kura ya kutokua na imani na Rais.

Na hao kina shellukindo tayari kwa siku nyingi agenda yao inafahamika ni nini. Wapo tayari hata kusogeza tarehe za 2015 zirudi nyuma zaidi ili ziendane na maneno matamu ya bishop joshua.
 
Feb 6

[h=1]Taswira Kutoka Bungeni Mjini Dodoma[/h]

Written by haki | // 0 comments

Picha+no+2.jpg

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akijibu maswali ya wabunge kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini na uondoaji wa tatizo la mgawo wa umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini na kufafanua kuwa serikali inaendelea na mikakati ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya utoaji wa huduma ya umeme katika maeneo yasiyo na huduma hiyo na kuimarisha uzalishaji wa umeme wa uhakika katika Gridi ya Taifa kupitia vyanzo mbalimbali.
Picha+no+3.jpg

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR –Mageuzi) David Kafulila akichangia bungen kuhusu namna bora ya ukusanyaji wa mapato kupitia kodi zinazotozwa kwenye makampuni ya simu nchini ili kuongeza mapato ya serikali leo mjini Dodoma.
Picha+no+4.jpg

Waziri na Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda(kushoto) akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia)ndani ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
Picha+no+1.jpg

Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job ****** akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wabunge wakati wa kikao cha tano cha mkutano wa sita leo mjini Dodoma.
 
Umefika wakati wa JK kurudisha heshima yake ambayo ilishapotea kwa wananchi,yeye awashinikize wapige kura ya kutokuwa na imana nae waone,halafu avunje baraza lote la mawaziri,aamue tu sasa kumuua nyani,asiwatazame usoni ateuwe mawaziri wawajibikaji sio hawa wapiga usingizi tu na kujitengenezea njia ya 2015,piga chini marafiki wote hao ndio wamekufanya nchi ikushinde!!
 
Tanzania imepoteza dira chini ya CCM,yetu macho
mkuu katika hii namuunga mkono Kikwete. Na ninatarajia watanzania wote wazalendo tuonataka kuona taifa letu linapata katiba nzuri tujitokeze wazi kumuunga mkono JK. Na tuzipinge kwa nguvu zote hizi posho wanazotaka kulipwa bila ya kutoka jasho.
 
Me nilisema juzi hapa..JK asikubali hoja za hao wabunge maslahi..awaambie kupitisha au kutopitisha ni juu yao, na kama vipi wampigie hiyo kura ya kutokuwa na imani naye,'kama wanaweza at all'. Niko na Jk (nadhani wengi tu pia tupo naye) as far as suala la katiba na kushusha posho linahusika.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hivi Vicky Kamata naye atapiga kura ya kutokuwa na imani? shombo shombo!
 
I wish this was true tuone kama anaweza kuwatosa aliowapa ulaji bila kujali uwezo wao.
 
Tetesi za reshuffle nimezisikia pia

Mimi nadhani hii ni nafasi pengine ya mwisho kwa JK kurudisha hadhi yake na ya CCM mbele ya umma. Anahitaji kufanya mabadiliko makubwa na kuondoa mawaziri legelege wote; pia mwanasheria mkuu wa sasa hatoshi, huyu hafai katika mchakato wa kupata katiba mpya. Pia ni muhimu kwa rais kubadili mfumo wa serikali, hasa sekta ya elimu na afya. Pia apunguze ukubwa wa baraza la mawaziri kwa kufuta wizara nyingine au kuziunganisha ili iwe ishara kwa umma ya kuanza kubana matumizi tunapoelekea bajeti mpya mwezi juni. Na katika hotuba yake kuunda baraza jipya, awe mkali na awe tofauti kabisa, na ashike uzi huo huo kwa kipindi chake kilichobakia. Akiachia nafasi hii imponyoke, atakuwa na shughuli nzito sana ya kukipa CCM uhalali mbele ya umma, na pia mawaziri wengi wataendelea kumchukulia kama mshijaki. Hili litakuwa janga kubwa kwake hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM, Novemba mwaka huu.
 
JK directionless government is doomed to fail, no wonder he remained carefree and unconcerned with people's dissatisfaction over his cabinet's performance even after repeated calls to substitude his underperforming ministers with competent ones. He, at this point of time, seems to respond to the public sentiment but its too late to rescue this stumbling country from falling. The reshuffle he is contempleting to carry out will not help change deteriorating things but only could diffuse the damage that was otherwise to be spawned by the collapse.
 
Mimi nadhani hii ni nafasi pengine ya mwisho kwa JK kurudisha hadhi yake na ya CCM mbele ya umma. Anahitaji kufanya mabadiliko makubwa na kuondoa mawaziri legelege wote; pia mwanasheria mkuu wa sasa hatoshi, huyu hafai katika mchakato wa kupata katiba mpya. Pia ni muhimu kwa rais kubadili mfumo wa serikali, hasa sekta ya elimu na afya. Pia apunguze ukubwa wa baraza la mawaziri kwa kufuta wizara nyingine au kuziunganisha ili iwe ishara kwa umma ya kuanza kubana matumizi tunapoelekea bajeti mpya mwezi juni. Na katika hotuba yake kuunda baraza jipya, awe mkali na awe tofauti kabisa, na ashike uzi huo huo kwa kipindi chake kilichobakia. Akiachia nafasi hii imponyoke, atakuwa na shughuli nzito sana ya kukipa CCM uhalali mbele ya umma, na pia mawaziri wengi wataendelea kumchukulia kama mshijaki. Hili litakuwa janga kubwa kwake hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM, Novemba mwaka huu.
I hope atasikiliza ushauri wa watanzania. People that he trust are letting him down!
 
Hivi Vicky Kamata naye atapiga kura ya kutokuwa na imani? shombo shombo!

huyo alishaolewa na ccm,naamini kamwe hawezi kupiga,si unajua tena mzee!!!!na jinsi asivyo na uwezo wa kugombea hata udiwani sijui 2015 atakimbilia wapi!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
JK directionless government is doomed to fail, no wonder he remained carefree and unconcerned with people's clamour over his cabinet's performance even after repeated calls to substitude his underperforming ministers with competent ones. He, at this point of time, seems to respond to the public sentiment but its too late to rescue this stumbling country from falling. The reshuffle he is contempleting to carry out will not help change deteriorating things but only could diffuse the damage that was otherwise to be spawned by the collapse.

In your humble opinion, what should the statesman do at this juncture in order to resolve this political impasse.
 
Hata akifanya hiyo reshuffle bado watakuwa ni wale wale. Huyu anahamishwa kutoka A kwenda B, mwingine kutoka C kwenda A, n.k. Kama kweli wabunge wapo pale kwa interests za wananchi wapige kura ya kutokuwa na imani nae. Subutu.
 
Reshuffle itasaidia nini, make si mara ya kwanza! na kila akifanya ndo madudu yanazidi!
Bora raia tuandamane ili hiki chama cha Kijani kiwe pinzani tu!

Kama kweli hawamsaidi Rais vya kutosha mabadiliko ni muhimu. Angalia hata suala la posho bungeni mawaziri hawakuisaidia serikali ingawa Rais alionyesha msimamo kwamba sio wakati muafaka.
 
Hata akifanya hiyo reshuffle bado watakuwa ni wale wale. Huyu anahamishwa kutoka A kwenda B, mwingine kutoka C kwenda A, n.k. Kama kweli wabunge wapo pale kwa interests za wananchi wapige kura ya kutokuwa na imani nae. Subutu.

Huo ndo utakuwa mwisho wa ccm
 
Hakika MUNGU atajibu tu maombi ya Watanganyika wapatao 47milioni wanaoteseka ingali walioamini wawaongoze wameamua kujichumia matumbo yao na femilia zao!

MUNGU WETU KASIMAME NA KUWAIBISHA WOTE WALE KADRI UJUAVYO MWENYE!

Ni IMANI MUNGU wetu upo na utaonekana!
 
Back
Top Bottom