JK na serikali yako maisha haya mpaka lini?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
attachment.php

Wakati mwingine unaweza kusema maisha haya si ya kuwalaumu wanasiasa wetu tu, pengine tumuombe na Mungu atufungulie neema zake, kwani hali ya maisha ni ngumu sana kwa wanachi wengi wa vijijini na ile dhana ya maisha bora kwa 'kila Mtanzania' ni msemo ambao unapoteza maana kila kukicha. Mwangalie huyo bibi pichani juu, yumo ndani ya kijumba chake, ni asubuhi ameamka na kutafakari akiwa juu ya kijitanda chake, 'leo nitaishije,!
 

Attachments

  • maishamagumu.jpg
    maishamagumu.jpg
    37.2 KB · Views: 80
Back
Top Bottom