Hakikisha unaweka mipaka katika maisha yako, itakusaidiaa sana

winner09

Member
Sep 29, 2023
9
13
Aseee hii nomaa sanaaa, em tuangalie kwa ufup tuu

Mipaka inaonesha ni sehemu gani wewe uishie na ni sehem gani mtu mwingine aishie asiingie katika himaya yako

Mipaka inasaidia mtu mwingn asikuharibie moods
Na wew usimharbie mtu mwingn

Mipaka inatusaidia kuchambua kip chem kip kibaya yup mzur na Wa kuendana nay na ambaye siyo w kuambatan naye

Mipaka inakusaidia kutokuingilia Kila kitu katika maish ya watu kwa sabab unajua sehem ambay unatakiwa kuishia

Mipak inatusaidia kuepuka ugomv, lawam zisizo na msing maan Kuna vingine unavipunguza kweny maisha
Yako

Mipaka inatupa amani ya moyo maan hauingilii maish ya mtu mwingn na hat mwingn akijaribu kuinglia unaweza kujidefend maan taar unamipaka yako inayokuguide

Mipaka inakupa nni Cha kufny na kwa wakati na nin ambacho cyo Cha kufany na kwa wakati gani usifnye

Mipaka inakupa discipline katika maish na katika principles zako ulizonazo juu ya haya maishaa
 
Back
Top Bottom