Jk na sakata la jengo la ubalozi italia

tembeleh2

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
765
165
wa mujibu wa mwandishi wa gazeti la tanzania daima la leo (tar 29/2/2012), Prof. Mahalu alikuwa anajitetea mbele ya hakumu mkazi Kisutu akidai kwamba serikali ilihusika moja kwa moja ikiongozwa na wizara ya mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa chini ya JK. JK alifanya negotiations na malipo kwaawamu mbili.
Wana JF, Hili limekaaje???
 
Ilijadiliwa tangu jana hii sijui wewe ulikuwa wapi? Mods unganisha na ya jana ili mleta huu uzi alidhike.
 
Back
Top Bottom