Its unfortunate kwamba rais amekua baba mpaka anasahau kuwa ni rais wa nchi na siyo baba wa wanawe pekee... kwahiyo akiwa na mtoto mchezea nyoka basi kila mwezi tutaona manyoka ikulu na mapicha tele
I am saddened
This is our President we all know
hapana banaaa... alikuja kinyumenyume hadi chalinze, halafu akatembea kwa mikono hadi ikulu, kisha akapiga free style kabla ya kupata big-up ya presidaaInasemekana huyu dogo alitembea kwa miguu toka Arusha mpaka DSM ili ampongeza jk kwa ushindi wake.
<!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Inkoskaz<!-- google_ad_section_end -->
Senior Member
<HR>
Mkuu hii avatar yako kiboko utamaliza lini kucheza?
hahahahah
na wewe hyo avatar yako ya mdudu anayetembea imeniacha hoi...
Kikwete ni Rais wa Watanzania wote, si Rais wa wanaojua kubadilisha suti tu. Hiyo picha sioni kama ina cha kuwashangaza watu hadi kuanzishwa mjadala.