Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Duh! mmeibulia wapi hii jamani mbona tunatafutiana ubaya?
GT you know me better dude... to be fair, it is the picture of that hanging cartoon that has provoked all this. Nothing personal.
Duh! mmeibulia wapi hii jamani mbona tunatafutiana ubaya?
GT you know me better dude... to be fair, it is the picture of that hanging cartoon that has provoked all this. Nothing personal.
Which cartoon are you talking about?
this one:
kana kwamba Watanzania tunao hoji utendaji wa viongozi wetu tuko driven na wivu instead of our patriotism.
The other cartoon featuring Nike logo was a one to one conversation btn you and another member, thus am not bothered about, on the other hand, this referred to all gov critics, you included.
Umechemsha
aliyeweka hiyo cartoon ni MASATU unless unayo evidence nyingine kuonyesha otherwise..lakini si mimi niliyepost hiyo cartoon
Naelewa hilo GT.
Hizi spin offs nia yangu si kupinga jitihada za Mh. Rais wetu na safu ya wasaidizi wake, wala si kupinga kusifiwa kwake, bali kuangalia yale tuliyoyaongelea hapo awali, kuyashutumu na hata kuyalaani na kulinganisha utatuzi wa mambo hayo yaliyotugusa wakati huo (siyo mrefu) na huu wakati wa kusifiwa na hata kufikia kuambiana kuwa tuna wivu dhidi ya viongozi wetu tuliowachagua sisi wenyewe. Natumaini umenielewa.
the question is sasa huyo JK manata kumreplace na FREEMAN MBOWE?
...Hell NOOOOO!!!
sasa wenzio ndio wanaamini kuwa FM ni presidental material na kila kitu lakini wamesahau kuwa Mugongo Mugongo huko nyuma alisema hivi:
2. Freeman Mbowe failed in school, failed in business, failed in politics, and all this after being born in the royal family, the House of Mbowe. And he still has the audacity to vie for Presidency. In the current political state of play, he is irrelevant, and, as a HIPC (Heavily Indebted Party Chairman), he is finished as a politician.
Can you imagine the MBOWES ikulu?
duh!
GT,
Hii kali sana, yaani jamaa badala ya kuja na ubunifu wa kutatua matatizo yetu, wao kazi kuangalia taarifa za habari ili wapate ya kuandika kwenye hotuba?
Bila mawazo mapya na mabadiliko (change) hapo wananchi wataendelea kufungwa magoli tu.
Hiyo ardhi inaelekea ina rutuba kweli kweli lakini bado wananchi wetu wanasumbuka hata kupata vyakula. Tuna safari ndefu kweli kweli.
Wengine tukiomba hata kazi ya kuwa katibu kata na kwenda kuleta mabadiliko, hawataki, eti mpaka uwe kijana mpaka ndani ya mwili.