JK Kwa uteuzi huu tuonee huruma - Ulega Hamis Abdallah DC mpya Kilwa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
DC KILWA - Ulega.JPG

Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu napenda kuonyesha masikitiko yangu toka moyoni kwa uteuzi wa mkuu wa mkoo wa Kilwa hivi karibuni bwan ulega Hamis Abdalla. Hivi JK kweli kwa kigezo cha urafiki kati ya huyu jamaa tapeli mwenye kesi mahakamani ambayo haijaisha unamteua kuwa kiongozi mkuu wa Wilaya? Aisee mie kwa kweli I am out of words labda nyie semeni wakuuu....

Niliwahi post issue ya utapeli ya huyu jamaa waweza gonga hapa chini;

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m-na-kashfa-ya-utapeli-ahaha-kujisafisha.html

Kama uongozi unakushinda basi angalau chagua viongozi wenye tija watakusaidia angalau umalize kipindi kilichobaki.

Gomnga hapa kuona tapeli akiapishwa http://issamichuzi.blogspot.fr/2012/05/wakuu-wapya-wa-wilaya-mkoani-lindi-wala.html

Mungu bariki Tanzania, Munga bariki Africa
 
Sisi watanzania watu wa ajabu sana ni wachache sana wenye mapenzi mema kwa wenzao...sasa kama ulega angekua na kesi mahakamani rais angemteua vipi kuwa mkuu wa wilaya?kwa hali ya kawaida tuu labda niwasaidie wale wasio fahamu na wenye uelewa mdogo kama inavyoonekana kwa mtoa hoja el toro maana hata neno mkuu wa wilaya kuandika limemshinda..idara ya usalama inamchunguza kwa kina kila mteule wa rais wa ngazi yoyote ile na kujiridhisha kabla hata rais ajafanya uteuzi sasa labda mwenzetu utuambie kesi namba yake au wivu tuu chuki na roho mbaya?au ulitakaa upewe wewe u-dc umekosa au ulitaka apewe mama yako?acha uchuro mnafiki wewe kila mtu na bahati yake na bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziii,cv yake ya nini na itakusaidia nini nabihu?cv kapewa jakaya na kaona inafaa acheni wivuuuuu k..aaaa nyinyiii,ila kwa faida ya watu makini na wapenda mazuri kwa wenzao ulega ni graduate wa chuo kikuu cha dar-es-salaam na ana first class degree ya utawala na masters ya wildlife....inawachomaaaaaaaaaa wanafikii,hongera ulega fanya kazi kaka bahati hiyo kakupa mungu binadamu hana nafasi tenaa,do your job..!
 
- Duh! baab kubwa sana!, sasa alitakwia kuwa Waziri huyo!

William.

Samahani kaka William...uwe serious wakati mwingine maana naona michango yako mingi kwenye mambo yenye tija kwa taifa unafanyaga 'utani-utani' tuu. Siamini kama ukiwa kada wa CCM basi ndio na ubongo wako unaenda likizo au unakoma kufikiri....Yaani unataka kuniambia kwa vigezo vya CCM ukiwa na degree tu basi unapaswa kuwa Waziri!? No matter JK alikuwa akipachikwa PhD hovyo ili a'fit' kwa title ya Urais!
 
attachment.php

SOURCE: Mwananchi, 5 January 2012 na pia kwenye The Guardians toleo la 02 Jan 2012

Ni KIGOGO wa UVCCM mkoa wa Pwani
Aliwahi kugombea ubunge tiketi ya CCM pwani 20120 akatoswa kwenye kura ya maoni...
Ametapeli hela za hiyo kampuni na kesi yake iko mahakamani

Kwa sasa viongozi wa juu wa UVCCM, usalama wa taifa na yeye mwenyewe wanahaha kumsafisha kwani yumo kwenye shortlist ya mkulu kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya

My take
: Hii ndio aina ya viongozi tunaowaandaa waje kuwa mawaziri kwa utapeli huu akiwa kiongozi wa juu hata kidogo tulichonacho kitapona kweli? JK tuonee huturuma waTanzania kwa miiaka minne iliyobaki kwa mwendo huu
ukiimaliza tutakuwa wapi.

NAWAKILISHA................... ..
9uiOuAYkmABRwBSnDFQP0pUQlwaEyWC2XZx6HBvW2ESFAPXy9C7mOCZOAAAAAElFTkSuQmCC
Attached Thumbnails

I am INSURED by the MAFIA mob, You hit me, We hit you...
yrBj32HNFw35REAkAOw==
Come and enjoy "The Coke" side of me.

Reply Reply With Quote
 
Sisi watanzania watu wa ajabu sana ni wachache sana wenye mapenzi mema kwa wenzao...sasa kama ulega angekua na kesi mahakamani rais angemteua vipi kuwa mkuu wa wilaya?kwa hali ya kawaida tuu labda niwasaidie wale wasio fahamu na wenye uelewa mdogo kama inavyoonekana kwa mtoa hoja el toro maana hata neno mkuu wa wilaya kuandika limemshinda..idara ya usalama inamchunguza kwa kina kila mteule wa rais wa ngazi yoyote ile na kujiridhisha kabla hata rais ajafanya uteuzi sasa labda mwenzetu utuambie kesi namba yake au wivu tuu chuki na roho mbaya?au ulitakaa upewe wewe u-dc umekosa au ulitaka apewe mama yako?acha uchuro mnafiki wewe kila mtu na bahati yake na bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziii,cv yake ya nini na itakusaidia nini nabihu?cv kapewa jakaya na kaona inafaa acheni wivuuuuu k..aaaa nyinyiii,ila kwa faida ya watu makini na wapenda mazuri kwa wenzao ulega ni graduate wa chuo kikuu cha dar-es-salaam na ana first class degree ya utawala na masters ya wildlife....inawachomaaaaaaaaaa wanafikii,hongera ulega fanya kazi kaka bahati hiyo kakupa mungu binadamu hana nafasi tenaa,do your job..!

U DC sio bahati kipind hiki cha Janga la Kitaifa(JK), ukiwa swahiba wake, au wa Riz, Miraji, Salama, Mwanaasha, Chodo, basi unapewa tu, ht ukiwa mwizi, muuaji, fisadi, au ht km ulishamdunda dadako alipokuzuia kuuza nyumba ya familia!
 
- Duh! baab kubwa sana!, sasa alitakwia kuwa Waziri huyo!

William.
Kwa kuwa ulifeli mtihani wa form four kwa kupata four ya mwishoni ukiona degree unaingia woga. Huyo bwana mdogo nimesoma naye Pugu Secondary alikuwa bonge la kilaza, kilichomsaidia ni kukesha darasani tu.

Huenda akawa DC mzuri tu lakini Mutuz ujifunze kuwa sio wote wenye elimu wanakuwa viongozi wazuri. Mbona wewe umeungaunga hadi umepata digrii lakini unaishia kubandika picha za warembo kwenye blog tu. Jaribu 8 to 5 kama tunazopiga sisi kulijenga taifa, lakini baba yako na chama chake wanafisidi kodi zetu, ili uone mzigo wa viongozi wabovu ulivyo mkubwa kwa taifa hili.
 
Back
Top Bottom