JK Kwa uteuzi huu tuonee huruma - Ulega Hamis Abdallah DC mpya Kilwa

William, Naamini unaelewa kiingereza, sasa soma hapa " "Mr Abdallah Hamis had absconded from work with the company money paid to him (on behalf of the company by customers as consideration for the products supplied to the customer. To such effect we have opened a police case at Kilwa Road Station bears police case No KRL/RB/182/08".

Huyo mwenyekiti unayemtaja naamini ni Mh Freeman Mbowe. Totauti na huyu bwana alichukuwa hela ya mteja akaondoka nayo badala ya kupeleka kunakotakiwa, Freeman amechukuwa mkopo. Na kinachoendelea ni dispute kwenye riba.

NB: Ulivyokuwa New York ulikuwa unatoa michango ya kistaarab sana hapa JF, sijui umepatwa na ugonjwa gani tangu urudi Tanzania. Un-educational comments kama hiyo hii ya Mbowe says at lot about the current state of your thinking than it says about those you want to mudslide. Mbowe ni mkopo, huyu bwana Abdallah ni mkopo?

Na huyu DC hayuko peke yake mwenye police case, yuko mwingine huko Mara anaitwa Henjewele. Nenda kituo cha Police Kawe na hizi Ref: KW/RB/244/2012.

Hoja iliyopo hapa sio U-DC bali charaters za hao wanaokalia hicho kiti and whether wana sifa za kuwa DC. Kama bwana Abdallah anakosa uaminifu na hela za wateja wa kampuni moja tu, tuamini atakuwa mwaminifu kwenye ofisi kubwa ya mkuu wa Wilaya?

Nliitembelea vingunguti nikashangaa nikashangaa mabeberu wanakulana tigo huku mbuguma zipo! Nikaelekezwa kwamba Mbuzi wakifika ubungo wanakuwa wameshachanganyikiwa! Usishangae Mkubwaaa!
 
Sisi watanzania watu wa ajabu sana ni wachache sana wenye mapenzi mema kwa wenzao...sasa kama ulega angekua na kesi mahakamani rais angemteua vipi kuwa mkuu wa wilaya?kwa hali ya kawaida tuu labda niwasaidie wale wasio fahamu na wenye uelewa mdogo kama inavyoonekana kwa mtoa hoja el toro maana hata neno mkuu wa wilaya kuandika limemshinda..idara ya usalama inamchunguza kwa kina kila mteule wa rais wa ngazi yoyote ile na kujiridhisha kabla hata rais ajafanya uteuzi sasa labda mwenzetu utuambie kesi namba yake au wivu tuu chuki na roho mbaya?au ulitakaa upewe wewe u-dc umekosa au ulitaka apewe mama yako?acha uchuro mnafiki wewe kila mtu na bahati yake na bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziii,cv yake ya nini na itakusaidia nini nabihu?cv kapewa jakaya na kaona inafaa acheni wivuuuuu k..aaaa nyinyiii,ila kwa faida ya watu makini na wapenda mazuri kwa wenzao ulega ni graduate wa chuo kikuu cha dar-es-salaam na ana first class degree ya utawala na masters ya wildlife....inawachomaaaaaaaaaa wanafikii,hongera ulega fanya kazi kaka bahati hiyo kakupa mungu binadamu hana nafasi tenaa,do your job..!

Acha kutoa details za uongo! Hiyo first class degree ya utawala aliyonayo Abdallah Ulega aliitoa wapi? I know him very well toka enzi za kujifuta kamasi mpaka udsm nimesoma naye huyu jamaa na ifuatayo ni CV yake.
Name: Abdallah Ulega
Education: 88-94, Muungano Primary School, 95-98 Forodhani Sec School. 99-2001 Pugu High School (PCB), 2002-2005 Bsc General Science, so hiyo degree ya utawala imetoka wapi?
Tambua nimesoma na ulega toka kwa mwl MJ pale Muungano hadi Pugu sec, tukiwa pugu ndo nikapata hili jina la kagame but udsm nilikamua Bcom, tujaribu kusema ukweli jamani.
 
Unaweza kujiuliza jambo hili kwa mujibu wa tangazo hapo juu ni kwamba inajulishwa jamii huyu bwana ulega si mfanyakazi tena wa kampuni tajwa sasa kama wana RB yake huyu mtu alikuwa hayupo hapa mjini wakati wote huo au ndio fitna na kama ni kesi na ielezwe hiyo kesi ya tokea 2008 ipo mahakama gani na status ya hiyo kesi ipoje??!

vinginevyo ni upuuzi mtupu na jamaa ndio huyoo anaenda kulitumikia taifa wewe utabaki oooh nilisoma nae kwa MJ oooh kilaza sasa utuambie kama kilaza ebu tupe matokeo yake kuanzia huko kwaMJ hadi mlimani looser wewe mwenye wivu wa kike kagame
Fitna haijengi jipange ndugu
 
Nadhani Mr President was missinformed!!!

Atengue hii teuzi kwa kweli ni kashfa kubwa!
 
Sisi watanzania watu wa ajabu sana ni wachache sana wenye mapenzi mema kwa wenzao...sasa kama ulega angekua na kesi mahakamani rais angemteua vipi kuwa mkuu wa wilaya?kwa hali ya kawaida tuu labda niwasaidie wale wasio fahamu na wenye uelewa mdogo kama inavyoonekana kwa mtoa hoja el toro maana hata neno mkuu wa wilaya kuandika limemshinda..idara ya usalama inamchunguza kwa kina kila mteule wa rais wa ngazi yoyote ile na kujiridhisha kabla hata rais ajafanya uteuzi sasa labda mwenzetu utuambie kesi namba yake au wivu tuu chuki na roho mbaya?au ulitakaa upewe wewe u-dc umekosa au ulitaka apewe mama yako?acha uchuro mnafiki wewe kila mtu na bahati yake na bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziii,cv yake ya nini na itakusaidia nini nabihu?cv kapewa jakaya na kaona inafaa acheni wivuuuuu k..aaaa nyinyiii,ila kwa faida ya watu makini na wapenda mazuri kwa wenzao ulega ni graduate wa chuo kikuu cha dar-es-salaam na ana first class degree ya utawala na masters ya wildlife....inawachomaaaaaaaaaa wanafikii,hongera ulega fanya kazi kaka bahati hiyo kakupa mungu binadamu hana nafasi tenaa,do your job..!

Hii si kweli wacha uongo!
 
Kikwe mwenyewe tapeli. Sasa ataona hatari gani kuteua matapeli wenzake.
 
Ama kweli JF imevamiwa! Yaani kama wapo Watanzania wengine wanaofikia angalao asilimia moja wenye mawazo kama haya yako basi tumekwisha kama taifa! Yaani kwako mtu mwenye degree first class hawezi kuwa tapeli? Kwako mtu kuteuliwa u-dc ni bahati na si merit? Kazi tunayo.
 
Nani aliwaambia mkwe..re anataka kuwaletea maendeleo. Acha tukome hadi 2015 labda tutapata akili ya kuweka rais magogoni na siyo msanii
 
Huko ndiko kuishi kimjini mjini!!!, kwa jk kama unataka nafasi ya uongozi jilengeshe kwa mwanaye jina litamfikia fasta na uteuzi unafanyika!!
 
Jamani acheni siasa za maji taka, mbona hakuna kesi kwenye mahakama yoyote inayomhusu huyo jamaa, hiyo kesi ilikuwa mwaka 2008 wakati wa kampeni za uvccm,kosa lake ni kwenda kwenye kampeni bila ruhusa na hakukabidhi ofisi

Tuseme kwamba wewe unataka kumwajiri mtu kwenye kampuni yako, je mwenye CV ya kosa hilo la kuondoka na pesa ya mwajiri bila kuzikabidhi utamwajiri? tena yaelekea RB bado haijafutwa halafu unasema siasa za maji taka, alishindwaje kutoa taarifa hata kwa simu? In short hana weledi na si mwaminifu na hafai kuwa DC wa kiukwelikweli ila kwa vile U-DC wa siku hizi ni dilute basi heri
 
Wewe Kweli unashangaza usichokijua Kipi JK mwenyewe unaambiwa kaaiba kupitia Richimond,Mkewe Kupitia Wama,Wanawe kupitia kampuni za mafuta kama kiongozi na familia yake inasemekana wote wezi attacha kuchagua wezi wengine,mwenyewe unaona magazeti kila siku waziri huyu kaiba hiki,mkuu wa mkoa kanyang'anya shamba la wananchi,mkuu wa wilaya kauza ardhi ya wananchi,mkurugenzi kala fedha ya halmashauri ,serikali ya wezi wezi wezi watupu halafu unatuletea ujinga hapa waambie wananchi wa Lindi wakomoe kumwambia JK sasa basi inatosha hatuwezi kuchezea
Kulalamika ukijua serikali nzima wezi haitusaidii sisi
 
Hasa huyu ndio anawafaa sana watu wa Kilwa, maana amesomea mambo ya baharini na vijidudu vyake kwa hiyo ni asset kubwa hii mbona hivi wewe?

hi scandal mbona ni ya zamani mwaka 2008 natarajia kama kukamatwa na polisi kila siku wananmuona walisha mohoji na kupangua kesi yake hata kama alipatikana na kosa kisha litumikia na kumaliza Mbona mwenye tuhuma za mamilioni mzee wa bank kuu yuko huru kabakiza kesi ya kuwa na simu gerezani sasa anakula bata na kuendeleza biashara zake zenye mtaji wa pesa zetu akipewa uku wa mkoa napo mtasema kaonewa!!!
 
- Wewe mbona Mweenyekiti wenu alikuwa anadaiwa na NSSF lakini anafaa, sasa huyu kosa lake nini kutuhumiwa bila hukumu? I mean sometimes mbona mnakuwa na chki za kijinga sana!

- Mwacheni kijana afanye kazi jamani, mbona kwenye chama hamkusema haya?

William.

akili kama za Lusinde mjinga mkubwa
Mbowe alikopa na akashindwa kurejesha jambo ambalo ni la kawaida na sio wizi.Hamna mfanyibiashara asiyekopa.Je kitendo cha Mbowe kukope na kushindwa kurejesha kwa wakati ni wizi???????? unaweza kukifananisha na kitendo cha ABDALAH ULEGI?????????
 
William, Naamini unaelewa kiingereza, sasa soma hapa " "Mr Abdallah Hamis had absconded from work with the company money paid to him (on behalf of the company by customers as consideration for the products supplied to the customer. To such effect we have opened a police case at Kilwa Road Station bears police case No KRL/RB/182/08".

Huyo mwenyekiti unayemtaja naamini ni Mh Freeman Mbowe. Totauti na huyu bwana alichukuwa hela ya mteja akaondoka nayo badala ya kupeleka kunakotakiwa, Freeman amechukuwa mkopo. Na kinachoendelea ni dispute kwenye riba.

NB: Ulivyokuwa New York ulikuwa unatoa michango ya kistaarab sana hapa JF, sijui umepatwa na ugonjwa gani tangu urudi Tanzania. Un-educational comments kama hiyo hii ya Mbowe says at lot about the current state of your thinking than it says about those you want to mudslide. Mbowe ni mkopo, huyu bwana Abdallah ni mkopo?

Na huyu DC hayuko peke yake mwenye police case, yuko mwingine huko Mara anaitwa Henjewele. Nenda kituo cha Police Kawe na hizi Ref: KW/RB/244/2012.

Hoja iliyopo hapa sio U-DC bali charaters za hao wanaokalia hicho kiti and whether wana sifa za kuwa DC. Kama bwana Abdallah anakosa uaminifu na hela za wateja wa kampuni moja tu, tuamini atakuwa mwaminifu kwenye ofisi kubwa ya mkuu wa Wilaya?

- Brother umesema kitu cha msingi sana kwamba nimeishi sana nje, sasa unajua kule nje mt hahukumiwi bila matokeo umeonyesha kesi sawa sasa matokeo ya kesi yalikuwa nini? I mean I always stay objective na openminded sio kuruka ruka na hukumu bila FACTS,

- Sawa sikatai kwamba kiongozi aliwahi kuwa na kesi kama hizi habari ni za kweli, kuwa na kesi ni onwe thing na kuhukumiwa na mahakama ni another thing, huyu bwana mngeonyesha kwamba aliwahi kuhukumiwa GUILTY ningekubali kwamba hafai, lakini bila matokeo ina maana kesi ilikuwa na walakini au something else happened!

I mean wacheni ushabiki wa yanga na simba kwenye ishu muhimu kama hizi za kuhukumu character ya mtu na carreer yake, I mean alichaguliwaje kuwa Mwenyekiti wa UV-CCM kama hafai, wewe unajua competition ya kushinda hiyo nafasi kule mkoani?

- Simfahamu huyu mtu lakini mnyonge mnyongeni bro!

William.
 
akili kama za Lusinde mjinga mkubwa
Mbowe alikopa na akashindwa kurejesha jambo ambalo ni la kawaida na sio wizi.Hamna mfanyibiashara asiyekopa.Je kitendo cha Mbowe kukope na kushindwa kurejesha kwa wakati ni wizi???????? unaweza kukifananisha na kitendo cha ABDALAH ULEGI?????????

- Zote zilikwua ni kesi zenye file mahakamani au?

William.
 
View attachment 54450

Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu napenda kuonyesha masikitiko yangu toka moyoni kwa uteuzi wa mkuu wa mkoo wa Kilwa hivi karibuni bwan ulega Hamis Abdalla. Hivi JK kweli kwa kigezo cha urafiki kati ya huyu jamaa tapeli mwenye kesi mahakamani ambayo haijaisha unamteua kuwa kiongozi mkuu wa Wilaya? Aisee mie kwa kweli I am out of words labda nyie semeni wakuuu....

Niliwahi post issue ya utapeli ya huyu jamaa waweza gonga hapa chini;

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m-na-kashfa-ya-utapeli-ahaha-kujisafisha.html

Kama uongozi unakushinda basi angalau chagua viongozi wenye tija watakusaidia angalau umalize kipindi kilichobaki.

Gomnga hapa kuona tapeli akiapishwa MICHUZI: wakuu wapya wa wilaya mkoani Lindi wala viapo

Mungu bariki Tanzania, Munga bariki Africa
hutu

HUYU NDIE SHOGA YALE RIDHIWANI ALIYETOA LILE TAMKO MAARUFU LA " rais ajaye hatatoka kaskazini ,rais ajaye anamjuwa rais Kikwete' .....au mwingine...
.
 
attachment.php

source: Mwananchi, 5 january 2012 na pia kwenye the guardians toleo la 02 jan 2012

ni kigogo wa uvccm mkoa wa pwani
aliwahi kugombea ubunge tiketi ya ccm pwani 20120 akatoswa kwenye kura ya maoni...
Ametapeli hela za hiyo kampuni na kesi yake iko mahakamani

kwa sasa viongozi wa juu wa uvccm, usalama wa taifa na yeye mwenyewe wanahaha kumsafisha kwani yumo kwenye shortlist ya mkulu kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya

my take
: Hii ndio aina ya viongozi tunaowaandaa waje kuwa mawaziri kwa utapeli huu akiwa kiongozi wa juu hata kidogo tulichonacho kitapona kweli? Jk tuonee huturuma watanzania kwa miiaka minne iliyobaki kwa mwendo huu
ukiimaliza tutakuwa wapi.

Nawakilisha................... ..
9uiouaykmabrwbsndfqp0puqlwaeywc2xzx6hbvw2esfapxy9c7moczoaaaaaelftksuqmcc
attached thumbnails

i am insured by the mafia mob, you hit me, we hit you...
yrbj32hnfw35reakaow==
come and enjoy "the coke" side of me.

reply reply with quote

aibu ...aibu..aibu ...shame..idara ya usalama wa taifa ...?????,mpo??? Shenzi kabisa nyie...mwizi wa wazi ambaye hajasafishwa ...imekuwaje mmempa vetting clearance hadi akapewa ukuu wa wilaya ....mnaaibisha taasisi na taaluma kwa kweli!!
 
- Wewe mbona Mweenyekiti wenu alikuwa anadaiwa na NSSF lakini anafaa, sasa huyu kosa lake nini kutuhumiwa bila hukumu? I mean sometimes mbona mnakuwa na chki za kijinga sana!

- Mwacheni kijana afanye kazi jamani, mbona kwenye chama hamkusema haya?

William.

Kazi ipo mwaka huu.
 
Back
Top Bottom