Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
Alikuwa nayo in the first place?Popularity ya Pinda inaanza kupotea taratibu
Alikuwa nayo in the first place?Popularity ya Pinda inaanza kupotea taratibu
Pinda kwa kweli anatia aibu sana, yaani PM bure kabisa hasikiki kabisaa, umeme hakuna, foleni kibao na kila kitu.
Pinda kwa kweli anatia aibu sana, yaani PM bure kabisa hasikiki kabisaa, umeme hakuna, foleni kibao na kila kitu.
Pinda ni mtoto wa mkulima mlala hoi, mafisadi wamemfunga mdomo, je wewe unadhani ataongea nini?
Hayo yote unajimu, ila moja la maana kuzungumzia kwa sasa. Taifa halina PM kwa sasa, lina crisis manager, tena ambaye hatatui bali anadanganya ili kubuy time. Masuala yote anayoshughulikia yana harufu chafu, tena yenye kuashiria kuwa anasukumiziwa ili yammalize kisiasa. Ebu ona:
-Ameishatumia bilioni 2 kushughulikia uanzishwaji wa mahakama ya kadhi
-Ametangulizwa mbele ili kupunguza makali ya madai ya katiba kutaka
liundwe jopo la kuweka viraka
-Anatumiwa na CCM kuleta vurugu kwenye Halmashauri nyingi nchini eti kwa
sababu hiyo wizara anaijua sana
-Anatangulizwa mbele kupunguza hasira za watu kusudi Dowans ilipwe
kiulaini
-Migomo vyuoni inaripuka kwa yeye kushindwa kusimamia utoaji wa mikopo
hiyo
-Ameishinikiza Ewura kwa niaba ya mafisadi ili ikubali bei ya umeme kupanda
-Anatumia muda mwingi kusengenya mawaziri wakuu waliopita
HUYU HATUFAI KWA SASA, NA JK ANACHELEWA TU KUFANYA UAMUZI WA BUSARA.
SIONI kama hii habari ina maana yeyote.
hayo yote unajimu, ila moja la maana kuzungumzia kwa sasa. Taifa halina pm kwa sasa, lina crisis manager, tena ambaye hatatui bali anadanganya ili kubuy time. Masuala yote anayoshughulikia yana harufu chafu, tena yenye kuashiria kuwa anasukumiziwa ili yammalize kisiasa. Ebu ona:
-ameishatumia bilioni 2 kushughulikia uanzishwaji wa mahakama ya kadhi
-ametangulizwa mbele ili kupunguza makali ya madai ya katiba kutaka
liundwe jopo la kuweka viraka
-anatumiwa na ccm kuleta vurugu kwenye halmashauri nyingi nchini eti kwa
sababu hiyo wizara anaijua sana
-anatangulizwa mbele kupunguza hasira za watu kusudi dowans ilipwe
kiulaini
-migomo vyuoni inaripuka kwa yeye kushindwa kusimamia utoaji wa mikopo
hiyo
-ameishinikiza ewura kwa niaba ya mafisadi ili ikubali bei ya umeme kupanda
-anatumia muda mwingi kusengenya mawaziri wakuu waliopita
huyu hatufai kwa sasa, na jk anachelewa tu kufanya uamuzi wa busara.
Pombe inamfaa nafasi ya Pinda.Nafasi ya PM ni kubwa kuliko Pinda, jamaa utadhani kama vile hajaanza kazi. Mtu wa kubadilisha kwa sasa ni yeye halafu mwingine ni jamaa wa nishati na madini, ameshindwa. Kwa maoni yangu Pombe ahamishiwe madini na nishati.