JK kumkaribisha raisi wa Malawi kutembelea Tanzania, Membe na Lowasa wanajisikiaje?

Kama kweli anamkaribisha itakuwa ni kujikomba tu. Whats new there?
 
Tatizo la watz hatufanyi analysis na huwa tunakurupuka kuchangia. Mikaeli nimeyapenda majibu yako. Membe na Lowasa walitimiza wajibu wao ambao pia umetupa heshima kama nchi

Salute mkuu. Hawa wanaowashutumu Membe na Lowasa ni kwa sababu za kisiasa zaidi. Walichofanya ni sahihi kabisa na mimi naamini ndicho kilichopelekea mazungumzo. Huyo role model wa JF Joyce Banda alianza na act of aggression kwa kuvuka mpaka na kufanya utafiti kwenye ardhi ya Tanzania. Hakuna nchi duniani itakubali upuuzi huu labda Tz pekee. Syria wametungua ndege ya Uturuki majuzi, Italy waliwadaka makomando wa Uingereza walioingia kimakosa wakiwa mazoezini. Hivyo shutuma zozote ni unfounded.
 
piga ua membe rais 2015,


ndio mnaharibu ...tunaongea mambo muhimu kwa nchi wee unaleta siasa za urais hapa....noo

membe akimaliza huo uwaziri 2015...itatosha tu kumshukuru na kumuomba arudi mbweni kufundisha .....kama atataka au kama vipi apumzike ale pensheni kwenye ile nyumba yake aliyojenga pale bonde la jangwani.........offcourse kama na yeye hawatamvunjia na kumuhamishia mabepande ...kama walalahoi .....otherwise ...it will be enough of him!!..i mean wote hata lowassa pia ..muda wao utakuwa umeisha.....
We will need new person out of those involved in mutandao endless dramaS......kumrudisha mwanamtandao mwingine ikulu ni kuendeleza drama na bifu zisizoisha....new leader ...new begining...no looking back!!
 
baba mwanahasha bana nilitegemea sana hii kitu kotokea...
Hivi huyu mama hana mume?? maana mkulu naye yumo............
People are seen as inherently destructive, selfish, competitive and aggressive. However human beings are capable of generosity, kindness and cooperation, but the pride and egoism inherent in human nature mean that humankind also is prone to conflict, violence and great evil.
 
Nina swali dogo: hivi tatizo la mpaka wa ziwa Nyasa limetatuliwa? Malawi imekubali kuwa mpaka unapita katikati au Tanzania imekubali kuwa mpaka ni ufukweni?
 
Yote hayo yalitokana na udhaifu wa rais mwenye kwakukubali wawili hao kuingilia madaraka yake kwa kitendo cha kusema eti jw wako teyari kwa vita wakati hii kauli ingetakiwa kusemwa na jk mwenyewe ama ndo ile kawaida yake yakutuma watu ili apime mwelekeo wake? Ktk hili jj atathubutu kusema urais wake hauna ubia na mtu?
 
1. Membe na Lowassa ...wangeweza kushukua msimamo baridi ...Alafu Kikwete angekuja na msimamo Mkali zaidi
2. kwenye meza ya mazungumzo baadhi ya wajumbe wanawaza wakafanya. Storming...kubwa na hata..kutoka nje ya chumba ....ili kulainisha msimamo wa wapinzani...

3. Msimamo waliochagua Tanzania in this case unafanana na huo hapo....juu ...wasaidizi wa Rais ...nikimaanisha hata kinda membe na Lowassa walichukuaa msimamo Mkali sana...na kwa msiojuwa wakati wakitoa msimamo Mkali ...tayari Jeshi Letu la wananchi...lilishajipanga kimapigano...na vifaru,mizingaa na Zana zilishategwa kuelekea Malawi,ndege zilikuwa katikaa Hali ya tahadhari morogoro .....huku boti za kijeshi zikiwa tayari zimejipanga ziwani...kusubirii..Amri ya kupigaa...hiki ndicho kilisaidia kumaliza mgogoro(mkwaraa)....

MATOKEO yalikuwa positive ...Jeshi la Malawi liliondoa boti ziwani...na likarudi nyuma...,hata baadhi ya wananchi wa mpakani Malawi wakaaanza kukimbiaa....,Ndege za uchunguzi zikaacha kuruka...,Rais wa Malawi akaanza juhudi za kumtafuta Kikwete kupitia UN na mataifa mengine....,na ikafuatia na yeye mwenyewe kutoa tamko...kuwa Malawi haitapigana.

umeongea kitaalamu
 
baba mwanahasha bana nilitegemea sana hii kitu kotokea...
Hivi huyu mama hana mume?? maana mkulu naye yumo............

Nimechekajee... !!!! wewe mkulu wewe..... hujatulia...teh...teh..sikukuu njema
 
membe na Lowasa walitimiza wajibu wao kama joyce banda atajisikia vimbaya asije kwanza hatumhitaji inaonekana amajipendekeza tu kwa jk
 
Back
Top Bottom