mikonomiwili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 273
- 50
Kauli iliyotolewa na Membe na Lowasa kua Tanzania ipo tayari kuingia vitani na Malawi ina zidi kuwaumbua wawili hawa
Mwanzoni ilionekana kama vile Malawi wamekaidi makubaliano yaliyowekwa na kulikua hakuna njia nyingine isipokua kujiandaa kwa vita. Kitu ambacho kilizua hofu kubwa ndani nanje yanchi yetu.
Jamani vita si kitu rahisi kama Membe na Lowasa wanavyofikiri, ni jambo linalohitaji busara ya hali ya juu na njia zote ziwe zimeshindikana
Ona sasa swala linaonekana very simple kiasi kwamba JK anaamua kumwalika rais wa Malawi atembelee Tanzania
Lakini ile kauli ilikua inaonyesha kama kulikuwa na chuki kubwa na isiyoweza vumilika tena.
Hapa membe na lowasa wanajifunzanini? Na je wanatuonyesha nini kwenye hizi mbiozao?
Je siku huyu Raisi wamalawi akija Tanzania membe ataendakumpokea?
Tuachanena siasa sikipuuzi kama nimbio za urahisi watafutenjia nyingine na tena hapa ndo wametuthihirishia kua urahisi hawauwezi
Kwani kama ingekua ni Lowasa ama membe alikua raisi kwa wakati huu tungepigana na malawi wakati hakuna ulazima huo.
Luwasa na membe achenikukurukuka