Jk huyo kweye coctail watu wanakufa.

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
IMEKAEJE HIYO? ma Doctor wamegoma, watz wanahaha kunusuru uhai jk mbona haonyeshi kujari?
 
Makusanyo ya kigamboni yameongezeka na pesa ipo ya kusafiria, kwanini asiende? kwani hukumbuki mwaka ule Mzee mwinyi alipoacha madaktari wamegoma yeye akaenda kwa kanda bongoman?
 
Yaani cpati picha uko ameenda kufanya nini...kwanza mkutano wa DAVOS umekusudiwa hasa mataifa ya ULAYA yanayofiliskia pili kushuka kwa thamani ya EURO na tatu ARAB spring na vikwazo vya IRAN ambapo uchumi unaweza kushuka kwa ajiri ya mafuta..sasa kwanza cdhan ata km atapewa nafasi ya kuongea pili haina maana sana zaidi ya kutumia mamilioni ya walipa kodi ambapo safari yake moja ni madara kadhaa yanayoweza kujengwa....Kaacha mgomo wa MADAKITARI ambao bado haujashugulikiwa sidhani km kweli anajua majukumu yake mpaka baba wa watu MIZENGO PINDA leo kaongea ukweli jinsi anavyokosa usingizi kwakuachiwa mizigo mikubwa ya serikali.....HIVI NYUMBA YAKO IPO HATARINI KUUNGUA THEN UNAENDA KUJADIRI ISHU HIZO HIZO KILA WAKATI KWELI?
 
Kuondoka kwa Rais sio kuondoka kwa serikali.
Tumia akili sio masaburi.
OTIS
 
Yaani cpati picha uko ameenda kufanya nini...kwanza mkutano wa DAVOS umekusudiwa hasa mataifa ya ULAYA yanayofiliskia pili kushuka kwa thamani ya EURO na tatu ARAB spring na vikwazo vya IRAN ambapo uchumi unaweza kushuka kwa ajiri ya mafuta..sasa kwanza cdhan ata km atapewa nafasi ya kuongea pili haina maana sana zaidi ya kutumia mamilioni ya walipa kodi ambapo safari yake moja ni madara kadhaa yanayoweza kujengwa....Kaacha mgomo wa MADAKITARI ambao bado haujashugulikiwa sidhani km kweli anajua majukumu yake mpaka baba wa watu MIZENGO PINDA leo kaongea ukweli jinsi anavyokosa usingizi kwakuachiwa mizigo mikubwa ya serikali.....HIVI NYUMBA YAKO IPO HATARINI KUUNGUA THEN UNAENDA KUJADIRI ISHU HIZO HIZO KILA WAKATI KWELI?

Jamani, huyo mtu ameenda kubadili blad kutokana na yale mambo yetu! Au mnataka adanji?
 
IMEKAEJE HIYO? ma Doctor wamegoma, watz wanahaha kunusuru uhai jk mbona haonyeshi kujari?

Jamani hacheni kumpigia JK kelele. Mzee kaenda kuomba ili watoto wale. Hamjui Matonya kazeeka na Jk ndo kapewa urithi wake? Tanzania tumebarikiwa na Rais omba omba dunia yote inamjua, hiyo ni moja ya historia aliyotuachia ambayo lazima tujivunie nyie mnapiga kelele zenu wana Magwanda Kha, hamna dogo kweli.

Mwacheni atabasamu huko , Cameroon na Bill gates wako huko pengine anaweza kurudi na hela tununulie dagaa ! Nyie ndo mlimtuma apeleke bakuli sasa kelele za nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom