JK: hospitali zote zina xray na zinafanya kazi, ana uhakika?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Jana nimemsikia ****** anadai hospitali zote hadi za willayani zina xray na madawa ya kutosha hivi kaambiwa tuu au katembelea hizo hospitali kama groves hakuna hizo dawa ndo zitakuwepo? Yale mashuka ambayo hayajulikani rangi vp, wagonjwa kulala hadi 4 kitanda kimoja na kuzidi kuambukizana magonjwa ndo maisha bora hayo?

Vp ajira zetu zimebaniwa ulaya au misaada imekwisha? Shilingi yetu vp? Hivi hawa wanatuonaje hivi
 
Hizi ni miongoni mwa sababu mponda alitakiwa atimuliwe, masikini Rais kavishwa kivazi na abdul "kinachoonekana na watakatifu pekeyao"
 
Mwambie aende Arusha Mount Meru hospital akaulize kama kuna x'ray na dawa...

JK anachekesha kweli, zakuambiwa anashindwa kuchanganya na zake?..
 
huyu inabidi apewe picha ya hospitzli zote. labda alionao ndio wanamdanganya

Hata picha hawezi amini. Halafu hivi wale wazee hawajui kuwa kwenye mahospitali yetu hakuna vifaa au wanashangalia tu wakati wakienda hospitalini wanaambiwa vitendea kazi hakuna.
 
Mwambieni mheshimiwa aende hospitali ya mkoa wa Morogoro akapige X-RAY kubwa watamwandikia anavyotakiwa kupima halafu watamwambia aende akatafute kwenye hospitali binafsi na akishapigwa picha hiyo ailete kwa ajili ya kuisoma na kumtibu. Mimi yamenikuta hayo wiki 2 zilizopita na nikaenda dar (mwananyamala hospital) kupiga picha hiyo.Limashine la hospitali ya Morogoro ni libovu muda mrefu sana. wasaidizi wake wamemdanganya
 
Jana nimemsikia ****** anadai hospitali zote hadi za willayani zina xray na madawa ya kutosha hivi kaambiwa tuu au katembelea hizo hospitali kama groves hakuna hizo dawa ndo zitakuwepo? Yale mashuka ambayo hayajulikani rangi vp, wagonjwa kulala hadi 4 kitanda kimoja na kuzidi kuambukizana magonjwa ndo maisha bora hayo?

Vp ajira zetu zimebaniwa ulaya au misaada imekwisha? Shilingi yetu vp? Hivi hawa wanatuonaje hivi

Kwa mtu aliyesikiliza hotuba ya Rais hadi mwisho ana nafasi nzuri zaidi ya kukujua wewe ni mtu wa namna gani...haya bhana!
 
kama umeme hakuna xray wanamulikia nini.
wamama wanazalishwa kwa kutumia simu ya mkononi
hata mafuta ya taa hata karabai hakuna,lol,
 
eti?maskini cheupe wetu sijui tumwombeeje tena:thinking:
 
mwambie aende arusha mount meru hospital akaulize kama kuna x'ray na dawa...

Jk anachekesha kweli, zakuambiwa anashindwa kuchanganya na zake?..

mi namshangaa hata mbayuwayu anamshinda..... Kweli kuchagua kwingi ndio matokeo yake hayo tumeambulia mbatata
 
Hayo ndo Matunda ya miaka 50 ya uhuru; nchi bado ni changa sasa sijui ilivokuwa na mwaka 1 wa uhuru ndo ilikuwa komavu!!!
 
Basi na apige MARUFUKU kwenda India kwa mtibabu. Hawa jamaa hawatibiwi huku kwetu changanyikeni, wanapewa report hewa na kina Mponda ndiyo wanatukejeli na wazee wa CCM wa Dar. Hao wazee wanajua kabisa si kweli, maana wanaugua na wanauguza. Sijui kwanini wasiseme anaenda kuwaeleza wa zee, maana kuongea ni majibizano, hao wazee walimuambia nini?? Ingekuwa hayo ameelezwa na wazee tungemsamehe. Ila kwa hili, hata mimi nimepoteza imani naye kabisaaaaaaa....
 
Mwambieni aje Urambo jimbo la Sitta kama X-ray inafanya kazi na dawa zipo. Yana wasaidizi wake walishamjua udhaifu wake ndio maana wanamdanganya halafu pembeni wanajichekea, then Posho inaingia.
 
Mnataka rais ndio afanye repair za xray machine? Wabongo bana

Kuwa great thinker kidogo
Hospital nyingi zinasimamiwa na Wizara na Idara za wizara ya Afya
MAshine zinapoharibika ni jukumu la Wizara kuhakikisha kuwa mashine husika zinatengenezwa
Licha ya kutengenezwa ni kuwa hospital nyingine hakuna hata hizo mashine kabisa
Na taarifa za ubovu huo zipo wizarani
Sasa kama wizara ambayo inaongozwa na mteuliwa wa rais haijui kuwa kuna mashine mbovu au kuna hospital ambazo hazina hizo mashine kabisa tutegemee nini
Ina maana rais anakuwa misinformed kuhusu kuwepo au kuharibika kwa mashine hizo na anatoa hotuba kuwa hospitali zote zina mashine za x-rays na zinafanya kazi tutegemee nini hapo
 
Back
Top Bottom