JK hajui kabisa kabisa Urais ktk hili, au anadanganywa?

Elifasi

Senior Member
Nov 1, 2010
180
5
Ripoti ya CAG inapofikia hatua ya kujulikana kwetu wananchi wa kawaida, inamaana mkuu ambaye CIG anawajibika kwake kwa njia moja au nyingine, anakua ashaipata taarifa kamili ya yaliyomo. Je, mh. Ni kwamba amepima lakini hakudhani alistahili kufanya maamuzi yoyote hivyo kuendelea na safari yake ya kurudia starehe ya kubembea Brasilia, au anaelewa kola kitu, pamoja na umbumbumbu wetu, hivyo akaamua kuendelea na mambo take akijua hamna jipya, tutanyamaza tu??? Na kwa lolote lile kati ya tafsiri hizi na zaidi,, wewe unajiwajibishaje????
 
Back
Top Bottom