Jk bwana huwa ananifurahisha sana na mambo yake...

Mswahili akiona ubwabwa hata kuwe na hataru gani lazima austiri kwanza ndio mambo mengine yaendelee.
 
gtaifa la walalamikaji.ivi wana jf mbona tunapotoSHA MAANA YA KUWA MPINZANI?YANI WE NI KUPINGA KILA KITU,...AIBU SANA.
 
hii thread pAmoja na michango ya wachangiaji haina dira wala mwelekeo.imekaa kichukichuki na kimbea kimbea ttu.
 
Pale alitamani sana aonje na kukosoa ule "ubwabwa"maana yeye ndio asili yake ule ati!!!!

Badala ku hit kwenye pointi pale lazima alileta utani kidogo wamam wale wakacheka!!!wale wahanga wanatakiwa wapewe chakula cha kukaa muda mrefu tumboni!!!!wahanga wetu na serikali yetu uzuri wanajuana fika...anzia Gmboto/mbagala....na kwingineko....wanajuana sana sana hao wanaweza kukaa hapo madi march mwakani!!!na shule zikagoma kufunguliwa au wakahamishiwa viwanjani!!yangu macho!!
 
Nahisi kilichomvutia hapa ni huyu DEMU tu!!...............................Hivi kama ni mbichi atajuaje na hawezi kuonja???
 
wabongo hawana jema. Mtaishia hivyohivyo na wivu wenu.

Acha upumbavu huo, wee mzee mzima huna hata chembe ya busara!! Hapa kuna wivu gani wakati wananchi wanapotaja mapungufu ya Vasco Dagama? Kama ni baba yako tulia kaa kimya tunapomsulubu mtawala wetu anavyozitumia hovyo kodi zetu kwenda kukaa Bilila lodge kwa mamilioni ya shillingi kwa siku wakati wananchi wanakufa njaa..
 
Back
Top Bottom