JK atoa kafara MSOGA

Huyu mwanaye itabidi akae Mkao wa KULA maana sintashangaa kusikia kaambiwa kuwa KUNAHITAJIKA ZULIA la kukalia.

Itabidi ATOWE Mwanakondoo Mtamu wa KAFARA. Kijana kuwa macho..........

1%5B1%5D.JPG

We muache tu sasa atatolewa kikoa
 
Ndani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.

my quote:
Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo
Jamani alikuwa ametembelea ndugu zake wakamtengenezea Mbuzi wa kumpongeza kwa ushindi wa kishindo
 
Ndani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.

my quote:
Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo
jamani JF hebu tuache uchawi

River side kila siku wanachinja mbuzi.... mie krismas nilichinja mbuzi

sasa naona tunaenda mbali against everything
 
:gossip::kev::A S-confused1:
unless una videos (sio photos sababu they can be photoshopped) this is very hard to substanciate.....

Hata ufisadi wa EPA ulipoanza tulisikia hoja kama hii ya kudai ushahidi.Na majuzi tu,Waziri Nundu kadai taarifa za mtandao wa WikiLeaks kuhusu ufisadi wa Mattaka na wenzake huko ATCL ni uzushi tu kwa vile haziwezi kuthibitishwa.

Endelea kusubiri video,sie tunaojua faith ya JK kwa ushirikina wala hatishangazwi na habari hii.What do you expect from a President anayeamini zaidi waganga wake wa jadi kuliko washauri wake? Au na hili nalo utaliombea video?
 
kweli propaganda ya hapa jf nimeikubali, du si mchezo yaani si mbavu. hivi watu huwa mnatumia muda wenu mwingi kufikiria ujinga kama huu?
 
jamani JF hebu tuache uchawi

River side kila siku wanachinja mbuzi.... mie krismas nilichinja mbuzi

sasa naona tunaenda mbali against everything

Staili ya uchinjaji iliyokuwepo ni tofauti na anavyochinja siku zingine.
 
Ndani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.

my quote:
Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo

Alichinja au alinyonga??
 
kafara ya paka au mbuzi? rangi gani? una ushahidi? kama unao leta picha
 
:gossip::kev::A S-confused1:
unless una videos (sio photos sababu they can be photoshopped) this is very hard to substanciate.....

Videos can be AfterEffected. (Photoshop for photos, AfterEffects for videos).
 
Hiyo kafara unajua inatolewa kivipi?

Otherwise kusoma dua na kuchinja mbuzi halafu ukawapa watu nmasikini SIO KAFARA WALA TAMBIKO.

Dua haihitaji kuchinja chochote kwa kuwa Mwenyezi Mungu anatazama moyoni mwako, huhitaji kutoa rushwa unapoomba dua.
 
Back
Top Bottom