JK atoa kafara MSOGA

si alishasema analindwa kwa nguvu za giza mwaka huu atalindwa kwa nguvu za magiza
 
images
 
kweli propaganda ya hapa jf nimeikubali, du si mchezo yaani si mbavu. hivi watu huwa mnatumia muda wenu mwingi kufikiria ujinga kama huu?


Sasa hapa kati ya sisi wana JF, na wewe na JK wako, ni nani mpumbavu? angalia hiyo cheque na huyo Mkwere wako anavyekenuwa mimeno yae kwa uzuzu.


167541_1390032369824_1802575517_750317_699599_n.jpg
 
Amefanya bonge la kafara amealika karibu watu 2000 na zaidi ametoa watu bagamoyo bus 5 zimepeleka watu msoga ajili "sadaka" namsikitikia sana maana hajui alikuwa anataka urais wa nini labda kuandikwa tu ila hakuna alichofanya.....wanaomzunguka wajinga watupu ndio maana wanaendelea kumsiifiaaa kuwa JK kiboko bwana...hahah hana raha atoe kafara hadi mkewe haitasaidiaaa aendeeeee hana jipya
 
Ndani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.

my quote:
Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo


Ndie aliekuwa anaua maalibino; husiniulize source, muulize PINDA ripoti ya maalibino anayo yeye ilitumia fedha za watanzania kwanini ripoti iwe siri huku PINDA akilia Bungeni nini kilimliza tetesi ni kuwa sehemu ya Ripoti ilionyesho chanzo ni wanasiasa walikuwa wanavaa pete kbwa vidoleni zikiwa na mifupa ya Alibino, kumbuka wakati huo nae alikuwa na pete kama hiyo baadae aliivua;
 
duh, tuwe na uhakika na tunachosema, sio kumdhalilisha kiongozi kiasi hiki.
 
kikweteccmki.jpg
Mungu wangu nisaidie . hivi 2011 tumeianza, inamaana bado miaka 4 tu. Duuu na zile ahadi zangu 70 sitaanza hata moja, maana yote ni miradi mikubwa itachukua zaidi ya miaka 5. Any way tajua jinsi ya kuicheza hii ngoma tena 2015. Nadhani nianze kwa kuwamaliza kwanza maadui zangu.
 
<img src="http://www.thecitizen.co.tz/images/stories/kikweteccmki.jpg" border="0" alt="" /> Mungu wangu nisaidie . hivi 2011 tumeianza, inamaana bado miaka 4 tu. Duuu na zile ahadi zangu 70 sitaanza hata moja, maana yote ni miradi mikubwa itachukua zaidi ya miaka 5. Any way tajua jinsi ya kuicheza hii ngoma tena 2015. Nadhani nianze kwa kuwamaliza kwanza maadui zangu.
<br />
<br />
guud, sina la kupnga.
 
Labda alienda kusherehekea na watu wake. Ameamua wachnje, wale, wanywe il kudumisha ujamaa.
 
<img src="http://www.thecitizen.co.tz/images/stories/kikweteccmki.jpg" border="0" alt="" /> Mungu wangu nisaidie . hivi 2011 tumeianza, inamaana bado miaka 4 tu. Duuu na zile ahadi zangu 70 sitaanza hata moja, maana yote ni miradi mikubwa itachukua zaidi ya miaka 5. Any way tajua jinsi ya kuicheza hii ngoma tena 2015. Nadhani nianze kwa kuwamaliza kwanza maadui zangu.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom