JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
rosemarie hoja imegaragazwa chali puuu,kwa magreat thinkers?hebu geukaaaaa nyuma,kajipange upya,karibu tena nyumbani jf na thread yenye tija.
 
wakristo naona imewauma....

Mlitaka nini ?
Mara hatujaalikwa....
Mara miraji mbiwa unga ...
Mlichotaka nini hasa.. ?

Leo mnataka kualikwa kwenye harusi za magaidi ?
Leo mnataka kualikwa kwenye harusi za wafuga majini ?
Leo mnataka kualikwa kwenye harusi za za wavaa vipedo ?
Leo mnataka kualikwa kwenye harusi za wala ubwabwa wasiosoma ?

Nyinyi wakristo wasomi bwana harusi za wasiosoma mnazitakia nini ?
Mbona nyinyi harusi zenu hamna mtu anaye waletea uchawi kama huu mnaouleta humu ?

hawatowaacha huru na mambo yenu wayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao na wanachoonyesha kwenye sura zao sio walichoficha kwenye nyoyo zao kwahiyo usipoteze muda bro hao tunawajua kuliko wanavyotujua
 
Mlimani city ilibadilishwa kuwa mskiti, we mkristo ungeingia kufanya nini?
 
Wivu huo!! Kikwete bado anao watoto wa kiume. Mpeleke na wewe mwanao akaolewe na mmoja. Haya yote yanakuja kwa sababu mtoto wake ameolewa na mtoto wa Amiri J. Huyo Amiri J ni mtu tu kama mimi na wewe!! Acha roho ya kichawi.

Wewe ni form seven, kwaheri!
 
Wakristo naona imewauma....

Mlitaka nini ?
Mara hatujaalikwa....
Mara Miraji mbiwa unga ...
Mlichotaka nini hasa.. ?

Leo mnataka kualikwa kwenye harusi za Magaidi ?
Leo mnataka kualikwa kwenye harusi za wafuga majini ?
Leo mnataka kualikwa kwenye harusi za za wavaa vipedo ?
Leo mnataka kualikwa kwenye harusi za wala ubwabwa wasiosoma ?

Nyinyi wakristo wasomi bwana harusi za wasiosoma mnazitakia nini ?
Mbona nyinyi harusi zenu hamna mtu anaye waletea uchawi kama huu mnaouleta humu ?

Mlimkaribisha kiongozi wa waasi zzk?
 
Baada ya prince mtukutu kuona, natarajia ile dili ya kwenda kwa Xi Ping, .... itaongezeka. Sasa sembe inaweza kuagizwa kwa makontena ili kupata fedha za kugharamia familia.
Sijui kama ataendelea kupigana ovyo mitaani. Pole Mh. Raisi, hizo ni changamoto za kulea.
 
Huyu ndiye yule 2010 aliyesemekana kuandaa sms za uchochezi wakati wa uchaguzi?
 
Sendoff ya binti Lowassa ilikuwa tofauti kidogo na harusi ya bin Kikwete.
Nadhani japo kila mtu hufanya hafla vile apendavyo,ila shinikizo la kiitifaki pia kwa viongozi sio jambo geni na la kupuuzwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom